Dorothy Gwajima: Nimewasiliana na mke wa Justice Rugaibula, ambaye alifanyiwa fujo ya kufukuzwa kwake, nimemwambia afungue kesi ya udhalilishaji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,230
Kuna vipande vingi vya video kuhusu sakata hili ambapo, vingine vinaonesha mama mjane akiwa anabebwa kama mzigo ambapo, kimsingi huu ni UDHALILISHAJI.

Nimewasiliana na mama huyu na kumwambia pia ashtaki kuhusu huu udhalilishaji ili, mwanasheria wake aone hatua stahiki za kuchukua kisheria. NASI WIZARA TUNAFUATILIA KWA UKARIBU. @maendeleoyajamii

Natoa Wito kuwa, katika mapito yote, ni vema sana kutunza utu wa mwingine kwa mujibu wa sheria.

Aidha Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza haya
Ahsante kwa ushirikiano, mama mjane amenitumia sms, nikampigia, nikamsikiliza. Kifupi amesema, mwanasheria anaye, kesi iko Polisi na pia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni anajua jambo hili.

Soma Pia: VIDEO: Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine

Hata hivyo, changamoto zilizotokea ni huko kuvamiwa ghafla bila taarifa na kinyume na utaratibu stahiki wa kisheria ukizingatia kuwa, kesi iko Polisi. Hivyo, msaada wa haraka anaohitaji ni ulinzi wake na mali zake na dhidi ya hayo matishio anayopata.

HATUA: Nimewasiliana na Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na RPC Kinondoni na kuomba, wafanye hatua stahiki ili, mama mjane kwanza awe salama na utulivu kisha, hayo ya kisheria yaendelee kwa mujibu wa sheria ambapo, viongozi wote hao wamepokea kwa hatua stahiki.

Aidha, saa 9.11 jioni, nimeongea tena na mama mjane ambapo, ameniambia ni kweli Polisi walienda na wale waliokuwa wanamfanyia vurugu walitawanyika na sasa hali iko kwenye utulivu.

WITO KWA WANAODAI KUNUNUA NYUMBA YA MJANE:

Ndugu, hata kama mnadaiana, tafadhali fuateni taratibu halali za kisheria kupitia kwa mwanasheria wa mjane huyu. Hata katika mapito ya kisheria, tafadhali kumbukeni kuwa na subra na utu uwe kwanza na hapo ndiyo kila mmoja atapata haki yake na Mwenyezi Mungu atapendezwa nanyi nyote na kuwabariki wote. Amina.

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu. Tuendelee kushirikiana kuzuia changamoto za kijamii na kuibua zinapotokea na kuzipatia mwongozo stahiki kwa wakati. 🇹🇿
 
Mama Gwajima tukishakomboa hili Taifa tutamtafutia zawadi ya nguvu ya umma. She is the hero of our modern times. Nahofia kama wapo wanaofurahishwa jinsi anavyosimama na wanyonge! Mungu akubariki dada Dorothy.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba huyu kadhalilishwa kuliko wale wamama pale Kisutu mahakamani??
 
Dawa ya deni kulipa, sema jamaa kuna sheria za eviction wamezivunja. Yule mama anaweza kudai fidia kubwa kuliko hilo deni. Maana alishaanza kusema kuna mali zake zilikuwa mle ndani nimeibiwa. Hakuna ushahidi kama ni kweli na hakuna ushahidi kama si kweli. Mziki mnene huu
 
Kuna vipande vingi vya video kuhusu sakata hili ambapo, vingine vinaonesha mama mjane akiwa anabebwa kama mzigo ambapo, kimsingi huu ni UDHALILISHAJI.

Nimewasiliana na mama huyu na kumwambia pia ashtaki kuhusu huu udhalilishaji ili, mwanasheria wake aone hatua stahiki za kuchukua kisheria. NASI WIZARA TUNAFUATILIA KWA UKARIBU. @maendeleoyajamii

Natoa Wito kuwa, katika mapito yote, ni vema sana kutunza utu wa mwingine kwa mujibu wa sheria.

Aidha Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza haya
Ahsante kwa ushirikiano, mama mjane amenitumia sms, nikampigia, nikamsikiliza. Kifupi amesema, mwanasheria anaye, kesi iko Polisi na pia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni anajua jambo hili.

Soma Pia: VIDEO: Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine

Hata hivyo, changamoto zilizotokea ni huko kuvamiwa ghafla bila taarifa na kinyume na utaratibu stahiki wa kisheria ukizingatia kuwa, kesi iko Polisi. Hivyo, msaada wa haraka anaohitaji ni ulinzi wake na mali zake na dhidi ya hayo matishio anayopata.

HATUA: Nimewasiliana na Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na RPC Kinondoni na kuomba, wafanye hatua stahiki ili, mama mjane kwanza awe salama na utulivu kisha, hayo ya kisheria yaendelee kwa mujibu wa sheria ambapo, viongozi wote hao wamepokea kwa hatua stahiki.

Aidha, saa 9.11 jioni, nimeongea tena na mama mjane ambapo, ameniambia ni kweli Polisi walienda na wale waliokuwa wanamfanyia vurugu walitawanyika na sasa hali iko kwenye utulivu.

WITO KWA WANAODAI KUNUNUA NYUMBA YA MJANE:

Ndugu, hata kama mnadaiana, tafadhali fuateni taratibu halali za kisheria kupitia kwa mwanasheria wa mjane huyu. Hata katika mapito ya kisheria, tafadhali kumbukeni kuwa na subra na utu uwe kwanza na hapo ndiyo kila mmoja atapata haki yake na Mwenyezi Mungu atapendezwa nanyi nyote na kuwabariki wote. Amina.

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu. Tuendelee kushirikiana kuzuia changamoto za kijamii na kuibua zinapotokea na kuzipatia mwongozo stahiki kwa wakati. 🇹🇿
Kiongozi wetu wa ccm hodari kabisa ubarikiwe sana.
 
Atafungua kesi na kudai fidia kubwa kwa ule udhalilishaji ambayo itazidi hata bei ya hiyo nyumba wanayoigombania.
 
Back
Top Bottom