Door to Door marketing

Remmy Emmily

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
6
Reaction score
3
Maoni ya wadau kuhusu swali langu la aina ya marketing ninayopaswa kuitumia na yenye nguvu hasa kwa bidhaa mpya kabisa ni DOOR TO DOOR MARKETING.

Nitawaletea mrejesho juu ya maendeleo na mchakato mzima wa masoko na mauzo ya mlango kwa mlango. Asanteni
 
Keep it up! Utanipa mrejesho hata kwa inbox tu. It's more effective kwq mtu mpya kwenye industry
 
Biashara ni online nowdays. Hata kama
Bidhaa ni mpya, unaweza kuuza.
Huyu ni kiwanda, kiwanda hakimtarget mtu anayetumia. Kuna kampuni kwenye digital platforms followers ni wafnyakaz tu. Hat engagement sio kubwa, angalia pia activation yao hata mwenye emails shot za promo huoni, lakini ni giant kwenye field
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…