Dont try this at home...Ben sina hamu

Dont try this at home...Ben sina hamu

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Tulikua tunaangalia video bwana..tukaona mdada anamfungia mkaka kwenye kitanda na kwa pingu miguu na mikono, kamfunga mdomo na kitambaa, alafu kuna kakifimbo Fulani hivi anakua kama anamchapa nacho.....Ben nikamwambia binti ebu tujaribu inaelekea nzuri....hatukua na pingu hivyo tulitumia tu kamba za viatu......binti akachukua mkanda...akaanza kunitandika....aiseee......amenichapaje? sasa sijui kuna utaalamu wakuchapa mtu haumii.....yaani nimevimba mwili mzima sina hamu......mdomo kanifunga nikitaka kumwambia naumia siwezi nabaki kuguna tu., sasa yeye anajua ndio utamu wenyewe....kanitandika vibaya mno hapa nilipo nikitoa shati utanionea huruma jinsi nilivyovimba........kilichoniokoa ni machozi, ilibidi nilie machozi ndio akanifungua kitambaa...sina hamu.
 
Hahahahahahaha mkuu sio kila kitu cha kuiga ila pole


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
hiyo ni fetish,kuna watu hupata raha ya kimapenzi pale wanapo pata maumivu kwakupigwa, ni tatizo la kisaikiolojia,pole kwa mikanda ya nguvu
 
Hahahaaaa huo umburula mkuu mengine tusiige utakufa na utamu wako ww
 
Back
Top Bottom