Don't recognise Libya's NTC, Mugabe tells AU

Tatizo liliopo ni kwamba Mugabe kwa sasa anaongea na viziwi. Viongozi wa kizazi hiki ni malimbukeni wanaofikiria kusujudu wazungu ndio ufumbuzi wa matatizo ya Afrika.

...your hero Mugabe ndio source ya matatizo Zimbabwe na why 32 yrs in power? huyu mwehu bado anaishi enzi za cold war na asituletee empty rhetorical zake apeleke huko,yeah we loved Gaddaffy lakini naye hakuwa angel na hes gone now time to move on na kuwakataa NTC sio solutions ya matatizo ya Libya
 
Tatizo ,wako leaders wachache sana wenye ujasiri wa Mugabe Africa!
 
Wewe Koba vipi? Ni wapi nimesema Mugabe is my hero? Mbona umepinda ki-hivyo?

Na vile vile kusema Mugabe ndio source ya matatizo Zimbabwe is not the whole truth. Hapa tunaongelea yale aliyoyasema Mugabe na sio vitendo vyake. Tuliza akili na jadili kiutu uzima la sivyo unaweza kuonekana kama vile nati flani zimelegea kwenye ubongo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…