Ila kuzaa ni tofauti na mishe za nje. Watu wakishazaa pamoja wanakuwa na bond ambayo ni kama hamuachani. Hata wewe ungeoa mwanamke mwenye mtoto bhasi mahusiano yenu yangekuwa ya watu watatu hadi mmoja atangulie mbele za haki mkuuKweli mkuu,ila angeweza kuingia ndani mambo mengine yangejipanga tu;mbona wengine tumeoa lakini bado tunagonga za nje,huku ndoa zetu tukiziheshimu.
Kweli mkuu,ila kwa huyu mleta mada angekubaliana na hayo yote iwapo angetangaziwa ndoa....sasa ndoa hajatangaziwa zaidi ya kuambiwa aendelee na maisha yakeIla kuzaa ni tofauti na mishe za nje. Watu wakishazaa pamoja wanakuwa na bond ambayo ni kama hamuachani. Hata wewe ungeoa mwanamke mwenye mtoto bhasi mahusiano yenu yangekuwa ya watu watatu hadi mmoja atangulie mbele za haki mkuu
Mzee una kichwa kigumu? Yaani kwa maelezo ya mtoa mada umeshindwa kujua jinsi yake?We ni ke au me?
Imeisha hiyoo
Anachomaanisha kaachwa yeye baharia karudi kwa mzazi mwenzie tena huyo mwanamke ni aged compared to mwambaSheria namba 1 ya katiba ya mabaharia ni "Singo maza haolewi"
Sent using Gun Trigger
Ndoa sio mafanikio lakini maana kuna wenye ndoa lakini wanajuta maana zimewacost amani hadi mafanikio. Sasa huwezi jua angeweza kuolewa lakini baby mama drama ikamfanya ajute hata kuolewa. Ashukuru ameona mapema na amove on tuKweli mkuu,ila kwa huyu mleta mada angekubaliana na hayo yote iwapo angetangaziwa ndoa....sasa ndoa hajatangaziwa zaidi ya kuambiwa aendelee na maisha yake