heee hebu kiongozi nimegee, Ufoo Sari alifanya nini tenaNyie wanawake ndio waumizaji wakubwa sana,mnaweza kumfanya mwanaume afanye tendo ambalo hakutarajia maishani mwake,sijui unakumbuka ya Ufoo Saro wa itv?
Kwel aiseeUjumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu
Don't make her look stupid for loving you..
Just be Gentlemen, respect her feelins for u.
Usifanye mtoto wa watu aonekane kama mpuuzi mbele za watu kwa sababu anakupenda. Kama humpendi usimtongoze. Kama humpendi mwambie usicheze na hisia zake.
Muwamba ngoma.......Nyie wanawake ndio waumizaji wakubwa sana,mnaweza kumfanya mwanaume afanye tendo ambalo hakutarajia maishani mwake,sijui unakumbuka ya Ufoo Saro wa itv?
Jamani kwani nyie huwa mnatendwa!! Si mnasemaga unachapa tu na kumwaga maana wanawake ni wengi? Au kuna muda huwa wanapungua!!!Mbona umeongelea upande moja wa shilingi? Na wanaume wanaokutanayo, where should they send their grief?
Mama endelea kukua au kuzeeka uuone ulimwengu na malimwengu. Kama ni kuchapa tu basi hiyo ni biashara sio upendo au mapenzi yanayoongelewa hapa.Jamani kwani nyie huwa mnatendwa!! Si mnasemaga unachapa tu na kumwaga maana wanawake ni wengi? Au kuna muda huwa wanapungua!!!
Teh teh teeeeeeh!!!Mama endelea kukua au kuzeeka uuone ulimwengu na malimwengu. Kama ni kuchapa tu basi hiyo ni biashara sio upendo au mapenzi yanayoongelewa hapa.
Ujumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu
Sio kila relationship is about love, relationship zingine ni kutimiziana haja za miili ila sio upendo na ukijifanya hauzugi kushow love kiaina ndio watoto huwang'oi kabisa sasa hawa wadada wa siku hizi kwa kuwa wanatanguliza pesa mbele na ME hutanguliza kugegeda hakuna love tena hapoUjumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu
Don't make her look stupid for loving you..
Just be Gentlemen, respect her feelins for u.
Usifanye mtoto wa watu aonekane kama mpuuzi mbele za watu kwa sababu anakupenda. Kama humpendi usimtongoze. Kama humpendi mwambie usicheze na hisia zake.
Alimfanyia nyodo na dharau Jamaa yke,msela akatembeza mtutu kwa Ufoo na Mama ake bahati nzuri ufoo akaponea tundu la sindano bahati mbaya mama ake ufoo akavuta papo hapo na yule jamaa nae akajitandika shaba ya kichwa akavuta papo hapo....heee hebu kiongozi nimegee, Ufoo Sari alifanya nini tena
haki ya nani sijui nilikuwa wapi,Alimfanyia nyodo na dharau Jamaa yke,msela akatembeza mtutu kwa Ufoo na Mama ake bahati nzuri ufoo akaponea tundu la sindano bahati mbaya mama ake ufoo akavuta papo hapo na yule jamaa nae akajitandika shaba ya kichwa akavuta papo hapo....
Hii kitu hujawahi kuiskia mkuu? ni tukio la miaka mitatu au minne iliyopita...