EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
-
- #21
Lakini maddam nimekuelewa sana kwenye hili,na hii ndiyo sababu kubwa sana ya marriage wreck,kwanini hatujiulizi kama kweli tulipendana na ma-Ex wetu?kwanini kila mmoja aliondoka halafu baadae kila mtu au mmoja yuko kivulini,inakua tena hiyo takataka?
Mimi nilijaribu kuwapitia upya wote,na wakawa tayari,nikajipongeza kuwa HAWAKUWA CHAGUO SAHIHI KWANGU,kwakuwa hata ningewaoa mimi WANGEGONGWA na ma-X wao.KUJIDHALILISHA TU.
Am very expensive to just let my banana open.
Dont flatter yourself. You were only asked for a second opinion.
This is just a fiction story I don't understand why you take it so personal? 😀 😀.....a second opinion and a plan B solution if plan A doesnt work.
Am done replying to this Crap.
Sina uhakika kama hilo Einstein ndo jina lako halisi lakini kama ni jina lako halisi basi inaonekana watu wenye hilo jina wanapenda sana kutumia lugha ya kiingereza
Maana nina mshikaji wangu mmoja anaitwa Einstein ukichat naye ni kiingereza kwa kwenda mbele maneno ya kiswahili ataweka machache sana tena mara moja moja sana japo ni mbongo tu sema sijui jina ndo linachangia labda
NIOMBEE JAMAA MWAMBIE NA WAJINA PIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuu
Nimengamua points nying tu mkuu,Ila mkuu ukienda taratibu unaokota points kidogo huwezi toka patupu
OK sir, noted. Add more efforts of copying and paste educative articles on this platform as you did previously.This is not my article sir
Thank you sir,a Britain's man.My broder,be careful when you want to comment in English,you made a mistake right at the beginning of your sentence.
OK sir, noted. Add more efforts of copying and paste educative articles on this platform as you did previously.
HahahahMy broder,be careful when you want to comment in English,you made a mistake right at the beginning of your sentence.
Englander is also a fine name[emoji3]Thank you sir,a Britain's man.
Why so serious?.....a second opinion and a plan B solution if plan A doesnt work.
Am done replying to this Crap.
Why so serious?
Did this thread remind you of someone?
I WILLOK sir, noted. Add more efforts of copying and paste educative articles on this platform as you did previously.
Hapa kuna league inaendelea..nawafuatiliaMwenye uzi anaweza ku copy na kupaste as much as they want, and put any work of fiction or fact as much as they want....
Ila Ndoa na iheshimiwe, as watu wawili wameunganishwa by God kua mwili mmoja hadi KIFO kiwatenganishe.
This unhealthy obession he has with his Ex is amazing. The only way he can finally get some sort of closure is by justifying his pain and loneliness in his head with posts of pictures and many threads on JF insinuating that women including wake za watu ni cheaters, sexual objects, used goods and so forth.
However the fact remains she is GONE. Now get over it and get a life.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kusoma hii makala ndefu hivi halafu english ukweli naona giza
Mwenye uzi anaweza ku copy na kupaste as much as they want, and put any work of fiction or fact as much as they want....
Ila Ndoa na iheshimiwe, as watu wawili wameunganishwa by God kua mwili mmoja hadi KIFO kiwatenganishe.
This unhealthy obession he has with his Ex is amazing. The only way he can finally get some sort of closure is by justifying his pain and loneliness in his head with posts of pictures and many threads on JF insinuating that women including wake za watu ni cheaters, sexual objects, used goods and so forth.
However the fact remains she is GONE. Now get over it and get a life.