Don't cook if you can not eat

Don't cook if you can not eat

Iam Lupa

Member
Joined
Sep 22, 2023
Posts
37
Reaction score
75
Kuna ile tabia inapenya sana makazini especially zinapokutana gender mbili tofauti (me & ke). inatokea pale hao co-workers wanajaribu kuwa karibu zaidi kiurafiki hili kurahisisha utendaji wa kazi (may be) ila sasa inavuka mipaka. kunakuwaga na ile hali ya kutaniani kwa kushikana shikana au stori za kunyanduana.

Ni sawa ikiwa utapata chance ukala au ukaliwa mzigo lakini kama nothing can be happen its better to abort the mission na kufocus mambo mengine.

Kwa mwanaume kama unaona kabisa unamnyegeza manzi then haubutui ni bora ukaacha uo ufala mara moja.
 
Kuna ile tabia inapenya sana makazini especially zinapokutana gender mbili tofauti (me & ke). inatokea pale hao co-workers wanajaribu kuwa karibu zaidi kiurafiki hili kurahisisha utendaji wa kazi (may be) ila sasa inavuka mipaka. kunakuwaga na ile hali ya kutaniani kwa kushikana shikana au stori za kunyanduana.

ni sawa ikiwa utapata chance ukala au ukaliwa mzigo lakini kama nothing can be happen its better to abort the mission na kufocus mambo mengine.

Kwa mwanaume kama unaona kabisa unamnyegeza manzi then haubutui ni bora ukaacha uo ufala mara moja.
Kama umenyegeswa muite wash room ,fungua zipu ,chukua maiki Anza kuimba wimbo WA nyegezi ....rayvanny ft diamond platinum
 
Back
Top Bottom