Don't be a nice guy

Hizi ni character ambazo mtu hawezi kujifanyisha so ni automatic unaikuta ipo ndani yako so kama wewe ni nice guy ni ngumu sana kujilazimisha kuwa bad boy.

Nice men, ni kimbilio la wadada wengi wa mjini hasa maji yanapikuwa ya jioooooooni, na ndio watu ambao wanaongoza kuumizwa na mapenzi.

So, wadada ambao mmezalishwa mko na watoto wanne watano or kumi na mmekata tamaa za kuolewa ombeni Mungu sana awakutanishe na kina nice man coz once akikuelewa hatojali chochote kuhusu wewe zaidi ya kukuoa.

Ndio maana mnashauriwa muwe mnaenda kwenye nyumba za ibada hawa watu wenye hizi character coz huwa wako na mastress mengi ya mapenzi, kwahiyo walio wengi huwa ni waumini wazuri sana. Chukueni code hiyo nyie wadada na muanze kuanzia kesho kwenda misa za kwanza hahahaaaa.
 
Huo ndio ukweli !!
Bad boys Wana win sana Hawa viumbe!

Nice guys makombo yao!
I think Wanawake wengi waliochangamka na walio kwenye second layer huwa wanapenda sana ushindani na kashkash so ndio maana wanawakubali sana hawa vijana machachari ambao wengi wao huwa wako na character za ubad boy ila hawa nice guys huwa ni watu wamepoa, hawanaga mambo mengi so ndio maana wanakula sana makombo.

NB: zingatia neno I think
 
yani dunia ya saivi hakuna nice guy wa ku kalaga baho,,ni winyila sweeee
Sitaki laana ya uzeeni
Maisha yanabadilika sana wakuu, mm binafs nawez kuoa single mother kwq kuvaa tasters ya nice guy bila shida. Shart niwe sijawah kuwq na mahusiano naye... ila sio kurudiana na yule aliyenihangaisha kwa sabab ya kijamaa akaenda akaachwa huko.

Juzujuz tu nimekutana na Ex wangu kazalishwa na jamaa kakimbia. Mama wa yule dada kaniona kanisihi sana nisimtenge mwanae anapitia kipindi kigumu nikaitikia tu.. lakin mwaka huu naoa nimeshawambia asee. Hakuna njia ya yeye kupita atafute chocho nyingine
 
It's all about mwonekano, nice guy/beta male ni mwanaume ambae sio handsome, bad boy/alpha ni mwanaume handsome mwenye mwonekano mzuri

Pia alpha male / beta male hutumika kumaamisha mindset alio nayo mwanaume kwenye dating na maisha kwa ujumla.

Ila mara nyingi nice guy/beta male thing maana ake ni mdada anakuona una sura mbaya, bad boy/alpha male ni mwanaume ambae mdada anakuona wewe ni handsome Natafuta Ajira Extrovert haszu Zemanda Equation x DeepPond
 
Sure na kuna ilo suala la nice guy na gentleman, nikipata muda nitaliandikia uzi, izo ni characters mbili tofauti ila watu huwa wanajichanganya kwa kufikiri ni kitu kimoja.
Simp vs gentleman
You have a point , simps huonekana somehow feminine cause kuna that aura of masculinity inapungua. Cry babies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…