It show how Myopic you are..., mimi tangia mwanzo hapa nasimamia be real and be yourself, jambo ambalo sipendi mimi wala siwezi kulifanya siwezi kuwaambia wengine wasilifanye kama at that instant wanaona linafaa basi ni vema kwao na likifaa jana au dakika hii halimaanishi kwa hao watu litafaa maisha..., Its anyone's choice kulingana na utashi wake (To each their Own)....Haya chukua zawadi yako nenda kawatumikie single mothers na wasimbe. Sisi wala hatuna haja ya kukubadilisha wala kutaka uwe tofauti. View attachment 3051370
Maelezo yako hayapo clear kwani Kijana asiyechezea wanawake hawezi kuja kupata Malayer mstaafu?Wanaweza kujifunza kutokuwa playboys (kutochezea wanawake), ili utakapofika wakati wao wa kuoa wasianze kutukana wanawake, kwamba hawajitunzi na hawajiheshimu na siyo wife material
Kwa asilimia kubwa jambo la kujamiiana (sex) lipo katika maamuzi ya mwanamke. Na katika hili hakuna usawa.Mnashindwa kujua kwamba kujitunza kwa wanawake ili wabaki na hizo bikira zao kutamaanisha na wanaume nao itabidi wajitunze, kwa sababu wanawake wote wakisema wajitunze hadi ndoa basi wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao kabla ya ndoa sasa ninyi kujitunza hamtaki, mkiambiwa subirini hadi ndoa mnajifanya eti hamtaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia halafu leo hii mnataka bikira sasa hizo bikira zitoke wapi mbona ni kama ninyi wenyewe tu hamjui au hamko tayari kufuata hicho mnachokiadvocate
Kumbe kuna moderation ya topic zinazofurahisha watu na zisizofurahisha watu? [emoji848]Moderator huyu jamaa nyuzi zake nyingi ni kupondea wanawake do something
We mjinga mjinga usitake kunizoea kifala@Anita Makirita tumalize tofauti zetu, mwenzako nikisoma comments zako napata hisia za kukujali halafu nakuwa nakuonea aibu fulani hivi kama vile ndio natokea demu kwa mara ya kwanza kipindi nipo primary, hivi hatuwezi kuongelea hili swala wawili tu. I promise i'll be kind. I think i feel something kila nikisoma comments zako my dear,hebu kuwa na uvumilivu kunielewa.View attachment 3051374
Whatπ€πππUsimuonee huruma mwanamke
Well mm naweza sema mwanamke nikiumbe hakitabiriki. Ukipende usikipende anaweza fanya tukio usiamini tu. Nawaza sana Mfalme wa UK alikuwa akinogewa na capuchin ya house girl while Dod alikuwa akifunua mke ya mtoto wa malikiaπ€πWomen chases who doesn't love them, love who doesn't care for them.
Mwanamke atampiga chini nice guy na kupambana juu chini kuwa na bad boy ambae wala hana time nae zaidi ya kumchezea tu.
Mwanamke akishakua demaged, overused, traumatised, shattered, battered, broken, destroyed, and dumped by bad boys hapo sasa ndipo ataanza kumtafuta nice guy wa kumuokoa.
Muda pekee ambao nice guy anakua chaguo la mwanamke ni pale ambapo mwanamke uyo ashakua demaged na bad boys, but when she is fresh, beautful, innocent she will reject the good guy.
The only time she needs a real man is when all hope is lost, the moment she is tired of playing bed to bed midfielder, taking abortions pills, sucking community cocks, now age is catching up with her she needs to retire.
The good guys take the left over while bad boys eat her fresh. My brother never be that good and understanding man, you deserve much better. Judge a woman harshly based on her past.
Don't be understanding man that will accept rubish into your life. If she says she has repent, let her repentance be for another man but not you.
Formula ya mapenzi ni mwanaume kuwa masculine na kumzidi kipato mwanamkeVijana acheni kudanganyana.
Haya makitu hayanaga formular. Unaweza kuwa bad boy na ukala makombo vilevile.
Mapenzi hayanaga formular.
Bado unaweza ukamzidi kipato na akaliwa na unaowazidi pesa, elimu, mwonekano, exposure etcFormula ya mapenzi ni mwanaume kuwa masculine na kumzidi kipato mwanamke
Yani wewe sijui kwanini huwa unapenda kujenga hoja mfu kwa kutolea mfano wa personal life ya mtu kana kwamba unamfahamu, haijalishi kama ni wa kishua au la ila mimi humu huwa siongelei personal experience, bali huwa naongelea uhalisia ninaouona kwenye jamii na kwa watu wanaonizungukaWatoto wa kishua bwana. Wewe unakula bure na kulala kwa hisani ya wazazi unahisi na wenzako wana privilege kama zako.
Kuna wenzako huku ground akivunja ungo tu familia yake inaanza kumjengea mazingira atafute pa kwenda maana hawana uwezo wa kumtunza wanataka akaanze maisha mapema apate mwenza wa kumtunza kabla umri haujamtupa.
Sasa wewe unahisi maisha yanakwenda kama kwenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Weeeee ogopa ngosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways wanaume wameshaamua sasa na hali ndio kama unavyoona kwa sasa idadi ya single mothers inakuwa kwa kasi meaning wanaume wanachagua wanawake serious wa kufanya nao maisha sio yoyote yule. Ukileta ujuaji unapambana na hali yako.
Sasa wewe unakuja kuongea idea zako za kudownload kichwani kubabake haujawahi hata kujua bei ya chumvi ni bei gani, little girl go and change your diapers moma is calling you.
Kama vijana wangekuwa wanajitunza basi kusingekuwa na wanawake waliochezewa, kwa case ya mmoja mmoja kijana aliyejitunza ana haki ya kupata mwanamke aliyejitunza kama yeye, shida ni pale ambapo mwanaume kachezea wanawake wa kutosha huko halafu ukifika muda anataka kuoa anajifanya anatafuta mwanamke aliyejitunzaMaelezo yako hayapo clear kwani Kijana asiyechezea wanawake hawezi kuja kupata Malayer mstaafu?
Unawashauri nini Vijana waliojitunza na Kutoharibu Vitoto vya watu Wawe na Msimamo gani about girl's past?
Do they deserve better also??
Na kwanini unaassume kwamba wanaume tu ndio rahisi kushawishika na siyo wanawake kwani umeambiwa wanawake ni malaika kwamba wao ndio hawawezi kushawishika, halafu hivi hiyo mifano yenu mnayotoa huwa mnaangalia kweli uhusiano wake na uhalisia uliopo au huwa mnaandika mradi tu muonekane mmeandika, kumbuka hapa tunaongelea kuhusu wanaume kulalamika kukosa wake wema lakini simba kamwe hawawezi kulalamika kwamba wameishiwa swala wa kula huko poriniKwa asilimia kubwa jambo la kujamiiana (sex) lipo katika maamuzi ya mwanamke. Na katika hili hakuna usawa.
Leo hii mwanamke akiamua atoke barabarani akazini na wanaume watatu kwa siku ni rahisi hilo kufanikiwa.
Kuliko mwanaume akiaamua hilo kama hana hela ya kununua huduma sio rahisi kushawishi wanawake watatu kwa siku na akazini nao na hilo ni jambo la kimaumbile.
Yaani hata kama Wanaume utawafundisha maadili vipi ila ni rahisi mno kushawishika kwa maumbile ya mwanamke.
Lakini kama utaweza kumpa maadili mwanamke ni ngumu mwanaume kufanikiwa katika hilo hadi pale binti atakapo amua mwenyewe. Na hapo utaona tuu lazima utaratibu rasmi wa ndoa utafuatwa kwa sababu ndio njia pekee ya mwanaume kupata penzi la binti.
Nasisitiza Kukazania kumfundisha Simba eti Asile nyama ni ngumu waambie swala wasikatize mitaa ya Simba hilo litakuwa jambo la Busara zaidi.
Hakuna kanuni isiyokua na exception lakini ipo yenye ufanisi zaidi. Hili mahusiano yaende mwanaume anatakiwa kuwa masculine na amzidi kipato mwanamke kwa mbali.Bado unaweza ukamzidi kipato na akaliwa na unaowazidi pesa, elimu, mwonekano, exposure etc
Mwanamke anaweza kumpendea mtu, kitu cha kidogo tu na akaliwa.
Umejiandaa na ligi uliyoianzisha? anyway, subiri aje.Maelezo yako hayapo clear kwani Kijana asiyechezea wanawake hawezi kuja kupata Malayer mstaafu?
Unawashauri nini Vijana waliojitunza na Kutoharibu Vitoto vya watu Wawe na Msimamo gani about girl's past?
Do they deserve better also??
Nyie vijana hamfai πππUkipata nafasi ya kumipiga mwanamke tukio usijifirie mara mbili.
ππWakaange tu mkuu mpaka wakuelewe
Unaoa mdada ana bleach na tatoo kwenye bega
Na bado kwenye will u mere miii alikua kama anataka kukataa
Sasa si bora ungejilipua bomu la nyukliaππππΆπ½ββοΈ
Hoja ya mtoa Mada ilikuwa Nice Guys kuja kukubali kuwapokea used women So ungejadili hili ama hilo la wanaume wanaoharibu binti za watu ni hoja nyengine kwa sababu uwepo wa wanaume wanaoharibu hausababishi wanaume innocent wawapokee Hao wanawake eti kwa sababu ni wanaume wenzao ndio walioharibu.Kama vijana wangekuwa wanajitunza basi kusingekuwa na wanawake waliochezewa, kwa case ya mmoja mmoja kijana aliyejitunza ana haki ya kupata mwanamke aliyejitunza kama yeye, shida ni pale ambapo mwanaume kachezea wanawake wa kutosha huko halafu ukifika muda anataka kuoa anajifanya anatafuta mwanamke aliyejitunza
Maumbile yapo hivyo sasa sijui wewe unakataa nini hapa.Na kwanini unaassume kwamba wanaume tu ndio rahisi kushawishika na siyo wanawake kwani umeambiwa wanawake ni malaika kwamba wao ndio hawawezi kushawishika, halafu hivi hiyo
Huo mfano ulitolewa kukuelekeza kuwa Tatizo huenda likasababishwa na factors zaidi ya Moja lakini hizo factors zisiwe na uzito unaofanana hivo hata kukabiliana nazo hakuwezi kuwa sawa.mifano yenu mnayotoa huwa mnaangalia kweli uhusiano wake na uhalisia uliopo au huwa mnaandika mradi tu muonekane mmeandika, kumbuka hapa tunaongelea kuhusu wanaume kulalamika kukosa wake wema lakini simba kamwe hawawezi kulalamika kwamba wameishiwa swala wa kula huko porini
Sijaelewa hoja ni ipi hapaUnashindwa kujua kwamba kujitunza kwa wanaume au wanawake siyo suala la man made gender stereotypes tena hiyo ilikuwa zamani ila siku hizi ni suala la kuangalia faida ya hilo jambo kwa kila jinsia, kwa sababu sasa hivi mnaoongoza kulalamika kuhusu tabia za wanawake ni wanaume kuliko wanawake wanavyolalamikia tabia za wanaume, kwahiyo haya malalamiko yenu yanadhihirisha kwamba ninyi ndio mna uhitaji wa tabia njema za wanawake kuliko wao walivyo na uhitaji wa tabia njema zenu
Umetoka nje ya mada.Wote tunajua wanawake kwa asilimia kubwa wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya huduma za kiuchumi tu na si eti tabia njema za wanaume maana wanaume wengi kwanza hawana hata hizo tabia njema zenyewe, ndio maana ni rahisi mwanamke kumvumilia mwanaume msaliti na mnyanyasaji kwa sababu tu anajua kuna kitu anapata ila mwanaume hawezi kumvumilia mwanamke mwenye tabia hizo sasa ikifika mahali wanaume hawaoi maana yake wanawake watatafuta njia nyingine za kutafuta pesa ili waishi, ila wanaume ambao wao mahitaji yao ya msingi ni tabia njema ndio watateseka maana watakosa wanawake wenye sifa hizo as you know wanaume huwa wanapenda wanawake wanaowaliwaza na wanaowafariji pale wanapotoka kwenye mihangaiko yao ya kila siku
Unazungumza nadharia mno Wanawake wangapi single mothers wana watoto lakini wanatafuta wanaume wa kukaa nao?Kwahivyo mkisema kwamba hamuwaoi wanawake kwa kudhani mnawakomoa itafika kipindi wanawake wataanza kuingia kwenye mahusiano kwa lengo la kupata watoto na kupunguza hamu tu nao hawatataka ndoa, na kumbuka faraja ya mwanamke iko kwa watoto wake mwanamke hata akiwa hana mume bado anaweza kuwa na furaha ikiwa ana watoto wanamjali kwahiyo hata uzeeni hatapata shida, ila wanaume kikawaida huwa wanategemea wapate faraja kutoka kwa wanawake (na ni ngumu kuipata kutoka kwa mwanamke ambaye hauko naye kwenye mahusiano rasmi) wote tunajua jinsi ambavyo watoto wengi hawana bond kubwa na baba zao na hujali mama zao kuliko baba zao pale wanapofika uzeeni
Una shida mahali.Kwahivyo ifike pahala wanaume muache kujifariji na kujidanganya na hizo imani na kauli zenu kwamba eti wanaume wakiacha kuoa wanawake ndio watakaoteseka hiyo ilikuwa zamani ambapo wanawake waliambiwa ndoa ndio kila kitu, siyo hawa wa siku hizi hawa wa siku hizi hawajali tena mkisusa kuwaoa nao ndio kwanza wanatafuta njia ya kuishi bila ndoa lakini mwisho wa siku tukija kwenye uhalisia na mahitaji ya kisaikolojia wote tunajua nani atakayeteseka zaidi, kwahivyo chagueni moja mjitunze muache kuwachezea wanawake ili mkitaka kuoa muwapate wenye sifa nzuri au muwachezee halafu mwisho wa siku msilalamike mje muwaoe hao hao maamuzi ni yenu
Kuna mambo ili ujue kuwa huyajui inabidi hadi uwe unajua vitu furani.Umejiandaa na ligi uliyoianzisha? anyway, subiri aje.