Don't act like it's a bad thing to fall in love with me

Don't act like it's a bad thing to fall in love with me

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,104
Reaction score
14,029
Love is in air.

Wanawake sometimes wapo complicated sana miaka kadhaa iliyopita kuna sehemu nilipita nikapata changamoto sehemu za siri nikachukulia poa kadri siku zinavyoenda nikajua hii ni serious issue ikabidi niende hospitali uzuri nilikuwa na bima nikafanya maamuzi ya kwenda hospitali ya mission ili nipande huduma bora na sahihi.

Nilianza dirisha la register nikapokelewa na binti mdogo kiumri na mwili i'm not sure kama alikuwa field ama ni mwajiriwa nikaandikisha taarifa zangu majina, umri, napotokea na phone no nikaendelea na utaratibu mwingine.

Nikiwa bado pale nikanotice yule binti kama ananikata jicho nikimcheki anazuga anafanya harakati zake mi nikamaliza vipimo nikapewa dawa zangu nikasepa

Nafaka geto sms inaingia namba ngeni "unaendeleaje" nikamjibu "poa nani mwenzangu" akajibu "mi dada niliyekuandikisha mapokezi hospitali x" mi bichwa likavimba kuona kuna binti wa watu anaingia kwenye mfumo wa kumuelewa mhuni kimoyo moyo najisemea huyu silazi damu naruka naye.

Chats na calls za mara kwa mara kujuliana hali mi nakaza ili yeye aseme nakupenda binti asemi nikaona isiwe kesi wacha mimi nianze kumtongoza eti ananikataa anadai kwamba yeye alitaka tuwe marafiki wakati matendo yake yote yanaonyesha kuwa ananipenda tena sio kidogo ile sana

Huu wimbo wa JUSTIN TIMBERLAKE - DON'T ACT LIKE IT'S A BAD THING Umfikie popote alipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom