Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Aug 9, 2015 #21 Warren.T said: Siyo black tu mkuu anawachukia hadi wanawake,anawaita nguruwe!!...akipewa nchi pia ataivuruga mashariki ya kati yote!(Syria,Iraq,Iran,palestine e.t.c) Click to expand... Republicans ni watu radicals sana. Simshangai Trump, hao watu wakipewa nchi wataivuruga dunia nzima. Tutegemee kuanguka kwa uchumi kwa mara nyingine.
Warren.T said: Siyo black tu mkuu anawachukia hadi wanawake,anawaita nguruwe!!...akipewa nchi pia ataivuruga mashariki ya kati yote!(Syria,Iraq,Iran,palestine e.t.c) Click to expand... Republicans ni watu radicals sana. Simshangai Trump, hao watu wakipewa nchi wataivuruga dunia nzima. Tutegemee kuanguka kwa uchumi kwa mara nyingine.