Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,838 Jul 6, 2016 #1 D.Trump!Huyu ndiyo Kiongozi dadadeki, mambo chap chap kama Magufuli (PhD), hakuna kulemba, hakika wa USA wakitaka maendeleo ya maana wamchague D.Trump! Huyu ndiyo kiboko ya One World Government, anasema ataiondoa USA NAFTA!
D.Trump!Huyu ndiyo Kiongozi dadadeki, mambo chap chap kama Magufuli (PhD), hakuna kulemba, hakika wa USA wakitaka maendeleo ya maana wamchague D.Trump! Huyu ndiyo kiboko ya One World Government, anasema ataiondoa USA NAFTA!
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,886 Jul 7, 2016 #2 Mkuu kweli wamarekani kama wana taka raisi shupavu kama Reagan basii huyu jamaa anawafaa sana ila wakitaka mtu wa propaganda na blaah blaah nyingi kma huyu jaluo walio nae sasa basii wakapachike kale kamama waisome namba.
Mkuu kweli wamarekani kama wana taka raisi shupavu kama Reagan basii huyu jamaa anawafaa sana ila wakitaka mtu wa propaganda na blaah blaah nyingi kma huyu jaluo walio nae sasa basii wakapachike kale kamama waisome namba.
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,886 Jul 7, 2016 #3 Alafu unaweza kunisaidia jinsi ya kudownload uploaded video kwenye JF kama hii kwa kutumia simu??
K Kishada04 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 954 Reaction score 345 Jul 7, 2016 #4 Usanii mwingi.