Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,143
- 143,752
Hivi ni macho yangu tu au hawa jamaa wawili wanafanana? Na sizungumzii kufanana kimwonekano tu...hata kiitikadi na pengine hata ki-mustakabali.
Kwanza hebu angalia nywele zao..π.
Wote wawili ni wanasiasa wenye itikadi ya mrengo wa kulia.
Wote wawili wanaweza kuja kuwa viongozi wa nchi zao - Johnson inasemekana huenda ndo akaja kuwa waziri mkuu baada ya David Cameron kutangaza kujiuzulu. Trump naye anaweza kabisa kuja kuwa rais wa Marekani baada ya uchaguzi wa Novemba .
Hebu tazama hizi picha....mbona kama wanafana hawa watu...π
View attachment 359840 View attachment 359841
View attachment 359842 View attachment 359843
Hahaha,halafu wote wamezaliwa New York ,what Γ coincidence !
Mrusi awe kiongozi wa Uingereza wapi?Imagine wote sasa wakiwa ndo viongozi wa nchi zao..
Mrusi awe kiongozi wa Uingereza wapi?
Guranteed huyo mwehu unelectable AKA Trump has no shot and will never be US PresidentImagine wote sasa wakiwa ndo viongozi wa nchi zao..
Tangu uanze na ushabiki wako umegeuka kuwa comedy tuu.Romney,McCain wote chali na huyu naye 100% chali hata kabla ya uchaguzi, itabidi wewe na Durant mkamwombe msamaha Lil BImagine wote sasa wakiwa ndo viongozi wa nchi zao..
Tangu uanze na ushabiki wako umegeuka kuwa comedy tuu.Romney,McCain wote chali na huyu naye 100% chali hata kabla ya uchaguzi, itabidi wewe na Durant mkamwombe msamaha Lil B
Hahahahaha mbavu zangu......hii ni KO! Ya first roundDuh!
Aliyekwambia mimi ni pro-Trump nani?
Halafu leo bosi wako kakupa off nini?
Na badala ya kuitumia kupumzika umekuja kutoa povu humu.
Nikupe paper towel ujifute?πππ
Hao ni watu wawili tofauti kabisa, huyo mmoja Alexander Boris de Pfeffel Johnson ni Myahudi na ana damu ya Kituruki wakati D. Trump ni Mzungu 100% caucasian, mmoja ni tapeli huyo Boris wkt mwingine D.Trump ni genius!
Ubaguzi ni kitu kibaya sana. Yani hapo kisa ni Myaudi tu ndio imekuwa tatizo kwako.
Hao ni watu wawili tofauti kabisa, huyo mmoja Alexander Boris de Pfeffel Johnson ni Myahudi na ana damu ya Kituruki wakati D. Trump ni Mzungu 100% caucasian, mmoja ni tapeli huyo Boris wkt mwingine D.Trump ni genius!
Hivyo kuwalinganisha D.Trump na huyo Myahudi ingawaje D.Trump ni anti globalist ni kumkosea D.Trump, huwezi kumfananisha huyo ****** mwandishi wa Habari Boris na D.Trump hata siku moja!
na kwanza nafikiri haufahamu vizuri historia ya huyo Myahudi Alexander Boris de Pfeffel Johnson, huyo ni Globalist alikuwa tu ana kampeni kwa Uingereza kujitenga na EU kwa faida zake binafsi lkn ni bonge la liberal wakati D.Trump 100 conservative, pro life, anti gay, transsexuals, anti immigration, anti Globalist D. Trump is just the best, USA wanakaribia kupata Magufuli wao aweze kuinyoosha na kuirudisha USA kwenye mstari!

Ubaguzi ni jambo baya sana...yan hapo kisa ni myaudi imekuwa ni tatizo kwako.Hao ni watu wawili tofauti kabisa, huyo mmoja Alexander Boris de Pfeffel Johnson ni Myahudi na ana damu ya Kituruki wakati D. Trump ni Mzungu 100% caucasian, mmoja ni tapeli huyo Boris wkt mwingine D.Trump ni genius!
Hivyo kuwalinganisha D.Trump na huyo Myahudi ingawaje D.Trump ni anti globalist ni kumkosea D.Trump, huwezi kumfananisha huyo ****** mwandishi wa Habari Boris na D.Trump hata siku moja!
na kwanza nafikiri haufahamu vizuri historia ya huyo Myahudi Alexander Boris de Pfeffel Johnson, huyo ni Globalist alikuwa tu ana kampeni kwa Uingereza kujitenga na EU kwa faida zake binafsi lkn ni bonge la liberal wakati D.Trump 100 conservative, pro life, anti gay, transsexuals, anti immigration, anti Globalist D. Trump is just the best, USA wanakaribia kupata Magufuli wao aweze kuinyoosha na kuirudisha USA kwenye mstari!
Hahahahaha mbavu zangu.....yani ni KO! Ya first roundDuh!
Aliyekwambia mimi ni pro-Trump nani?
Halafu leo bosi wako kakupa off nini?
Na badala ya kuitumia kupumzika umekuja kutoa povu humu.
Nikupe paper towel ujifute?πππ
Sidhani kama ni myahudi, ila najua babu yake ni mturuki kwa asili, bibi yake ana asili uingereza na ufaransa,ana udugu na david cameroonHao ni watu wawili tofauti kabisa, huyo mmoja Alexander Boris de Pfeffel Johnson ni Myahudi na ana damu ya Kituruki wakati D. Trump ni Mzungu 100% caucasian, mmoja ni tapeli huyo Boris wkt mwingine D.Trump ni genius!