GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,865
Hilo la GoldMafia silifahamu!Kwa nini unamuanini GoldMafia?
Tabiri zake zipo accurate kuzidi za watabiri wa hali ya hewa!Watabiri wa hali ya hewa bhana
Trump ndiye Rais awamu ijayoNgoja tuone
Hilo silifahamu! Labda ameshamtapeli nani?Hiyo Angel ni tapeli kama matapeli wengine. Umemuona kwenye Gold Mafia?
Hata sijakuelewa mkuu! Unaweza kuandika tena upya? Nahisi kuna typing errors mkuu.
... Kennedy yeye ilipigangwa risasi vile yeye alichokozanga Papa Doc ndani ya Haiti vile Ruto naye kayakoroganga Haiti mwaka huu!
... chezea Baron Samedi ulambwe na VOODOO!
😅
Nenda nayo polepole, episode kama sita.
Tutarejea huu uzi NovembaUebert Angel ameshamtabiria ushindi.
Kwa wanaomfahamu Uebert Angel, amekuwa na Historia ya tabiri zake kutimia. Baadhi ya mambo aliyotabiri na yakatimia ni pamoja na:
1. Kifo cha Malkia Elizabeth
2. Uchaguzi wa Kenya uliompa Ruto ushindi
3. Machafuko nchini Kenya
4. Uchaguzi nchini Nigeria
Na mengine mengi!
Kuhusu Trump, amesema kuwa kuna watu waliopanga kumkwamisha lakini hawatafanikiwa kwa sababu Mungu ameshampa Trump ushindi. Kwa lugha nyingine, Joe Biden ni msindikizaji tu. Rais wa Marekani ni Donald Trump.
Asiyeamini asubirie uchaguzi ufanyike halafu aurejee tena huu uzi!
Trump ni Rais wa Marekani 2025 - 2028.
View attachment 3041965
Toa kwanza maoni yako ili Novemba uje kuthibitisha!Tutarejea huu uzi Novemba
... sisi GEN Z Swahili yetu ikilinganishwanga na Kiswahili ya TZ ni kama English inaongewanga na wanigga ikilinganishwanga na Oxford English!Hata sijakuelewa mkuu! Unaweza kuandika tena upya? Nahisi kuna typing errors mkuu.
Kumbe unajua kuandika vizuri! Rekebisha sasa comment ya hapo juu!... sisi GEN Z Swahili yetu ikilinganishwanga na Kiswahili ya TZ ni kama English inaongewanga na wanigga ikilinganishwanga na Oxford English!
😅
Masikini! Mbona ni "mtoto"? Nani kamtuma?muuwaji huyu hapa kama kuna ndugu zake waliopo hapa tanzania wasiojulikana waambie wakamchukue
View attachment 3041977
ccm wa USAMasikini! Mbona ni "mtoto"? Nani kamtuma?