WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 954
Siyo kirahisi hivyo Nk anaongeza usalama wachinaMchina si mtu wa kumuamini... always mchina anaangalia maslahi yako wapi maana yeye ni mfanya biashara.
Soon NK atajikuta yuko mwenyewe huku wanaodaiwa kuwa washirika wake wakimwacha mwenyewe
China inapinga marekani kuweka military base yake Korea Kusini na inachukulia mgogoro wa Korea kama mbinu ya kuidhoofisha. Marekani imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha majimbo ya Tibet na Taiwan yajitenge kutoka China na kuchochea mgogoro wa kugombea kisiwa cha Senkaku katika ya China na Japan.Mchina si mtu wa kumuamini... always mchina anaangalia maslahi yako wapi maana yeye ni mfanya biashara.
Soon NK atajikuta yuko mwenyewe huku wanaodaiwa kuwa washirika wake wakimwacha mwenyewe
Trump ni mtu wa Mungu sana yule baba Hawezi kuangamiza wananchi wasio na hatia ,apo Nadhani analia timing kiduku akiweza amalize mwenyewe ila km unasubiri trump amuuru kombora kurushwa na kuua jamii kubwa isiyo na hatia utasubiri sana Mzeee hilo Hawezi hata kdg .Nilikuwa najuwa Trump ni mtu wa maamuzi magumu kumbe na yeye muimba taarabu
Juzi china na america marais wao wamekutana. Walichoongea uko wanajua wenyewe ... mchina hatetei north korea. Anakaa neutral.. si barid si moto. Si mtu wa kumuaminiChina inapinga marekani kuweka military base yake Korea Kusini na inachukulia mgogoro wa Korea kama mbinu ya kuidhoofisha. Marekani imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha majimbo ya Tibet na Taiwan yajitenge kutoka China na kuchochea mgogoro wa kugombea kisiwa cha Senkaku katika ya China na Japan.
Mbona kiduku anatoa mipasho ya kufa mtu lakin ahafanyi kitu?Mwambieni huyo Trump avue hilo wigi limefunika akili zake mbona amekalia mipasho tu hachukui maamuzi sahihi alishaambiwa N korea siyo Waarabu akae akijua hilo
Ni lini kiduku alitishia atamvamia USA kijeshi.USA ndio kiherehere Mara aweke vikwazo Mara nitawashambuliaMbona kiduku anatoa mipasho ya kufa mtu lakin ahafanyi kitu?
NK anawalinda wachina.... kaka umedanganya... sana.Siyo kirahisi hivyo Nk anaongeza usalama wachina
Hiyo ndio diplomasia mkuu, hata Bongo unaweza kudhani ni rafiki wa kila nchi ndani ya Afrika Mashariki kumbe ni diplomasia tu ndo inakufanya uone hivyo lakini mambo mengine kama ya usalama hayana cha urafiki.Juzi china na america marais wao wamekutana. Walichoongea uko wanajua wenyewe ... mchina hatetei north korea. Anakaa neutral.. si barid si moto. Si mtu wa kumuamini
Mkuu ndenda taratibu utagundua Nk yupo anaishi kwa ajili ya china anafanya kazi ya china ni mtoto wa mchina anaisumbua marekani na mataifa mengine kwa nguvu ya china siyo kila jambo unaweza elezwa ukaelewa mkuu pengine ninaifahamu china kiasi kikubwa kuliko wewe !!!NK anawalinda wachina.... kaka umedanganya... sana.
China wana nuclear weapon, wana airforce kubwa... wana technology bila kusahau maendeleo.
baadhi ya ndege anazotumia NK chengdu J-7 na J-6 hizi zimekuwa modified na mchina.
Nk hana uchumi... mkubwa kama wa china.
Nk hana technology aliyonayo mchina..
Kwa kauli yako ni sawa sawa na kisiwa cha mafya kilinde Tanzania bara...? Ndoto za mchana