JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
Donald Trump ni mwanasiasa tajiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuongea katika midahalo. Katika kampeni zinazoendelea ndani ya chama chake cha Republican hakuna anaeonekana kumfikia kwa idadi ya kura za maoni na wajumbe (delegates) kuelekea mkutano mkuu.RNC
Licha ya umaarufu wote chama chake wanasema watamkata tu..
Sababu ni nyingi. Kwanza hawaamini kama yeye ni mrepublican..na ana historia na makundi yenye utata kama La Cosa Nostra mafia na Ku klux klan-wabaguzi wauaji wa kizungu.
Majibishano na Papa Francis kuhusu walatino kuhamia marekani kwa wingi ni moja ya dosari kubwa wanazoziona wenye chama kuwa huenda zikamdondosha dhidi ya Hillary Clinton.
Trump anasema wasithubutu kumkata..patachimbika..kwani marekani yote wataandamana. na yeye katahadharisha kuwa yuko tayari hata kuhama chama .na kugombea kama mgombea binafsi.
Maswali 21 ambayo hayajawahi kujibiwa kikamilifu na Trump
21 Questions For Donald Trump
Yes, Donald Trump has been linked to the mafia
'' The nomination is decided by delegates to this summer's convention, not directly by voters. But it's probably not a terribly helpful argument to make at a time when Republican establishment types are openly talking about wresting the GOP nomination from Donald Trump at the convention.
Trump has said doing so could lead to "riots."
RNC member: ‘Political parties choose their nominee, not the general public’