Don,t make a woman cry

Mkuu Tized nakubaliana na Mndengereko let her cry bana maana at some point inampa relief fulani ambayo kwake yeye ni nzuri kuliko kukaa nalile donge moyoni mwake ambalo ni kisasi kibaya sana

hahaa usiombee wa hivyo..., unarudi home ye ana smile tu...chakula kapika......

kosa umefanya lakin wala hakuulizi hao visati vyao ni hatari sanaa
 
kweli mkuu ikibidi let them cry,alafu ukikaa sana na mwanamke bila ya hata siku moja kumliza sio ishu,let her cry for you inaongeza mahububa

Hii ni kweli sometimes ukibidi tuache tulie ila kwa sababu maalum inaleta raha pale unalia afu jamaa anaanza kukubembeleza kimahaba huku anakupa na kimoja kama kipoozeo unasahau yalotokea....
 
no woman no cry
 
yah inaonyesha hisisa alizokuwa nazo juu yako coz yale machozi yanatoka tu yenyewe automatically,kama ambavyo mtu akifiwa machozi humtoka tu mwenyewe kwa sababu ya uchungu na amambo ambayo anahisi anaenda kuyamiss kutoka kwa marehemu,
heeeeeee kumbeeeee, ngoja nijitahidi kulialia sasa
 
Hii ni kweli sometimes ukibidi tuache tulie ila kwa sababu maalum inaleta raha pale unalia afu jamaa anaanza kukubembeleza kimahaba huku anakupa na kimoja kama kipoozeo unasahau yalotokea....

aisee na hii baridi umenitia genye ,very true
 
Hii ni kweli sometimes ukibidi tuache tulie ila kwa sababu maalum inaleta raha pale unalia afu jamaa anaanza kukubembeleza kimahaba huku anakupa na kimoja kama kipoozeo unasahau yalotokea....

there you are.
 
heeeeeee kumbeeeee, ngoja nijitahidi kulialia sasa

ukijitahidi kulia hapo unakuwa umeyaforce machozi na hisia inabidi yatoke machozi yanayotoka automatically,raha sana kumbembeleza mpenzi wako anaelia kwa ajili yako.
 
hahaa usiombee wa hivyo..., unarudi home ye ana smile tu...chakula kapika......

kosa umefanya lakin wala hakuulizi hao visati vyao ni hatari sanaa

hayo ni mapenzi ya dhati hadi shetani anaogopa
 
Hahahahah we jamaaa nimecheka mpaka noma ts touching sana
 
Hii ni kweli sometimes ukibidi tuache tulie ila kwa sababu maalum inaleta raha pale unalia afu jamaa anaanza kukubembeleza kimahaba huku anakupa na kimoja kama kipoozeo unasahau yalotokea....
inapendeza ila ndo umpate anaejua kubembeleza
 
Mac ya 13500......L'oreal ya 15000.........?......oooooh puliiiiz.......beat her more.......it doesn't matter.........
 
i wont beat you again,i dont wanna see you cry cry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…