piga hesbu ya chumba cha kawaida kukirembesha kihivyo halafu ingiza hizo vitendea kazi ndio utaelewa mzee.Solon kama hiyo niandae kiasi gani mkuu nikiwa na plan za kufungua mpya kabisa.?
Ndio maana nikaomba kujua Gharama mpaka inakamilika ni bei gani. Mbona nilicho andika kinaeleweka Jamani.piga hesbu ya chumba cha kawaida kukirembesha kihivyo halafu ingiza hizo vitendea kazi ndio utaelewa mzee.
utahisi unajenga nyumba mkuu