Hizi hosting company uwa wana package inaitwa "shared" unaweza kuhost websites nyingi kwa pamoja.
Jiunge hiyo package then kazi inabaki kuzisajili domain humo.
Mfano ni shared hosting package ya namecheap, wanakupa uwezo wa kuhost unlimited websites kwa hiyo price.
View attachment 2381205