Mleta mada em acha kupoteza muda na hizi scamms, hazina tofauti na zile za Nigerian Prince. Hivi kila mnachokisoma online nyie mnakichukulia kua ni ukweli?, mnashare link mkidhani mtalipwa kirahisi hivo?, toka natumia internet ni miaka almost 15 sasa sijawahi ona mtu hata moja kalipwa na hawa scammers.
Tafadhali tafuta njia sahihi za kutengeneza pesa online, tengeneza hata YouTube video kama umeshindwa kazi nyingine zinalipa vizuri tu. Au uza vitu online acha kukaa unawaza pesa za bure