Dokta Kikwete kukaa kimya tuhuma ya EPA maana yake ni mhusika mkuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dokta Kikwete kukaa kimya tuhuma ya EPA maana yake ni mhusika mkuu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ntemi Kazwile, Aug 31, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Marando amemtuhumu Kikwete akishirikiana na Rostam Aziz na Edward Lowassa ndio waliokwenda kwa Mkapa kuomba ile pesa ya EPA.
  Si Kikwete, wala marafiki zake RA na EL waliojitokeza kukanusha tuhuma hizo na kumchukulia hatua za kisheria mhusika anayewachafua majina. Badala yake Makamba na Kinana ndio wanaosikika wakimtetea bosi wao na kwa bahati mbaya kabisa hawajibu tuhuma bali wanalalamika kuwa Chadema wamekiuka kanuni na wanatoa matusi. Kwani kumuita mtu mwizi kama kweli huyo mtu ni mwizi ni matusi??
  Kikwete ndiye adui yetu namba wani na Watanzania wote wanaomshabikia ni majuha! Huwezi kutapeliwa na mtu halafu ukaanza kumsifia mtu huyo kama wewe siyo **** / mwehu
   
Loading...