Bro unaangaliaga animal planet?Too sad....poleni wafiwa. Hii kitu hata wanyama hawafanyiani
Your what? Respect them plzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!halafu utasikia "tunajivunia amani yetu,watanzania ni wakarimu sana" my butt...wabongo wana roho mbaya sana
acha ufala wewe watu wamefiwa unaleta siasa za majitaka? kibiti nayo ilikuwa inatawaliwa na chadema?Sehemu yoyote inayotawaliwa na chadema, mambo haya hutokea sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
KUNA MASWALI MENGI YAKUJIULIZA KUHUSU KIFO HICHO.INAKUWAJE MLANGO UMEFUNGWA NA DIRISHA ALAFU MTU KACHINWA.WACHINJAJI WALITOKEA WAPI?[/QUOTE
Maswali ya kitoto,kwa Ulimwengu huu wa Teknolojia hupaswi kuuliza maswali kama hayo.....
Labda pengine wewe ni Under 18
Kama kibiti vileSehemu yoyote inayotawaliwa na chadema, mambo haya hutokea sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchonganishi usio na msingi, siasa na huyu docta vinaingiliana vipi, kwan yy ni mwanasiasaSehemu yoyote inayotawaliwa na chadema, mambo haya hutokea sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app