Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,094
- 942
Sijui KUSEMA kumsaidia mtu ili anisaidie baadaye hakuna iyo makitu. Bora utende wema usisubiri kusiadiwaMkuu,
Msaidie mhitaji,,, utapata mrejesho chanya katika maisha yako.
Jifanye nunda kumnyanyasa mhitaji ila kumbuka siku ukianguka wakati yeye amesimama unaweza ukaomba dunia ipasuke ili ikufunike.
Tafuta Uzi wa Infantry Soldier , kuhusu kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabisa uone wana JF walivyochangia.
Any way , unaweza ukawa unajiandikia suicide sentence bila kujua ukifanyacho.