Mkuu kwani hakuna wemye 1 za form4 alafu wanapata zero form6?Naona dogo anamngangania wembe.mpeni atachomoka na zero ya PCB form six. Trust me
Mkuu alifanyiwa nini?Kuhusu PCB muulize Ndugai atakueleza ilichomfanyia.
Peleka ujinga wako huko. Ni commitment tu hakuna jambo gumu. Unataka kujifanya ndo weweeeeeeee. Dogo akasome Mchepuo wa ndoto zake na atafauluKuhusu PCB muulize Ndugai atakueleza ilichomfanyia.
Alichofanyiwa ni sawa na alichofanyiwa mbunge wa simanjiri, Christopher Ole Sendeka kule old Moshi secondary. Walilamba division zeroMkuu alifanyiwa nini?
Hiyo english ndo imemfanya apelekwe huko'A',Tamisemi wana dawati la kushughulikia hayo malalamiko.Mwenye anaweza kunisaidia please!
..kuna dogo amemaliza f4 na kuchaguliwa high school HGL
Unfortunately enough dogo hana interest kabisa na masomo ya arts ..yeye ni hama asome PCB au aende college kozi za afya(kozi za afya hapa barrier uchumi unabana hataweza).
Sasa naomba anayeweza kunisaidia akapata shule ya serikali PCB tuwasiliane ,
Phone 0629595248.
Dogo matokeo yake haya hapa
Yuko na II ya 19
CIVICS - 'C'
HIST - 'C'
GEO - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'A'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'C'
B/MATH - 'D'
Hata ushauri pia,
Don't hesitate to contact me ili dogo hatimize ndoto zake