Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Asome education in chemistry, atakuwa rais wa JMT
simshauri kusoma hiyo kozi ina changamoto sana kwenye kupata kazi.Ni kozi ilioanzishwa kisiasa tanzania tena bora hata na kipindi cha kikwete watu waliokuwa wakipata pata kazi kwenye makampuni, sababu walikuwa ni wachache pia siasa za kipindi cha JK zilikuwa zinatabirika ila kwasasa hali ni tete.Wengi walomaliza wanajuta wasingeisoma.Kupata tu maeneo ya kufanyia practical training ni changamoto, pia walosoma hio kozi hasa nje(china,norway,UK) kwa level ya master ni wengi mno ila wapo kitaa!!Je?? Ni nzuri au magumashi
Ushauri mzurisimshauri kusoma hiyo kozi ina changamoto sana kwenye kupata kazi.Ni kozi ilioanzishwa kisiasa tanzania tena bora hata na kipindi cha kikwete watu waliokuwa wakipata pata kazi kwenye makampuni, sababu walikuwa ni wachache pia siasa za kipindi cha JK zilikuwa zinatabirika ila kwasasa hali ni tete.Wengi walomaliza wanajuta wasingeisoma.Kupata tu maeneo ya kufanyia practical training ni changamoto, pia walosoma hio kozi hasa nje(china,norway,UK) kwa level ya master ni wengi mno ila wapo kitaa!!
Makampuni mengi yanayofanya utafiti wa gesi kama Exxon Mobil na Statoil wanataka kusepa mazingira ya uwekezaji sio mazuri
Nimesoma hio kozi naelewa vizuri changamoto zake.
Kwa ushauri mwambie dogo asome kozi mojawapo kati ya hizi
1.Civil engineering
2.Mechanical Engineering
3.Electrical engineering
Mambo ya Harvard yamekujaje Ndugu? Tumsaidie mdogo wetu kwanzaWorldboss Mzee wa havard..
Kweli wewe wakuuliza hili swali ..??
Karibu mtaani mkuu sindoumemaliza hiyo petroleum udom
😅😅 kwani anaidai... mwambie aache iyo kitu mtaa mgumu sana.Ameskia inalipa
Kweli kabisa😅😅 kwani anaidai... mwambie aache iyo kitu mtaa mgumu sana.
Kweli KBS wanalanda na vyeti tu mtaani. Kikwete alikuwa na plan nao ila jiwe kipaumbele chake ni kuua upinzanikama anataka ushauri wa namna gani Bsc. in PE inafaa basi mwambie haifai kwa mazingira ya Tanzania. by then kwa sasa in TANZANIA everything is worse.
Inalipa both kuajiriwa na kujiajiri ko iko vizuri in general.Hivi information technology wakuu ipo vzr kwenye fursa na kujiajiri pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asisome hiyo kozi, atakuja kujutaJe?? Ni nzuri au magumashi
Hiyo course kasoma Ontario kaishia kuwa mtoa fursa wa forex.Dogo ana ABB pcm