Huwa inasaidia kuitangaza na kuifahamu hii Miji na maendeleo yake na fursa zilizopo..
Kwa mfano, hizo juices murua na wines za Thika na Dodoma huenda hata wewe hukuzijua, but now tumejua kuwa Dodoma and thika lands can grow grapes
Watu wengi hawajasafiri, binafsi Mimi nimeijua miji mingi ya Kenya kupitia hili jukwaa,
Na pia wachangiaji wa nyuzi hizi tunaburudika kwa challenges na vijembe murua. Na wakenya wanafahamu kiswahili kama ulivyosema.
We will keep comparing everything, I mean each and everything , !