Habari wakuu, napenda kufahamu bei za frem za biashara dodoma zinaendaje
.
Biashara kama
1. Furniture
2. Mapazia, mashuka, godoro, neti,
3. Hardware
...
Napenda kufamu bei za frem na mzunguko wa biashara wa hivyo vitu
Pia kupata experience ya dodoma palivyo kwa biashara
..
Ahsanten

nakuita mara tatu Dodoma mbona unafanya raia wanapauka sana kuanzia mwili hadi mfukoni 