Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,251
kumbe na wewe unafaham mbwembwe za huyu bwana mdogoWe jamaa bhna hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya kutamba umepata tenda yenye faida ya mil 18 za JF.
Vipo mkuu karibu na Stand nicheki tuu.Siku zote nimekuwa nikisikiliza Sana vijana wenzangu kukimbiza na muda na kuacha kulialia sana hasa humu mitandaoni.
Simaanishi watu wote mkaishi Dom, Ila namaanisha mkaangalie fursa huko. Mimi naishi dar Ila Kuna fursa nimezipata huko na hakika nimeona pesa ipo.
Sijui Sana kuhusu mikoa mingine Ila kwa dodoma Shahidi ni Mimi mwenyewe.
Inawezekana ni kutokana na kuwepo kwa taasisi nyingi za serikali kuwepo huko, yes inawezekana.
Nilikuwa huko.mwezi uliopita kwa ajili ya kufatilia tender kwenye taasisi moja, na hakika mambo yamekuwa vizuri.
Kama unaweza kupata tender ya mil 48, na ukatoa kila kitu ukabaki na faida ya mil 18 sio mbaya kabisa. Yes pesa inachelewa kidogo, si unajua taasisi nyingi wanapenda credit terms. Na hapo baada ya miezi tena miwili unapata tender nyingine Kama hii au zaidi ni poa sana.
Nashauri Kama una muda au una rafiki au ndugu huko nenda, kaa hata wiki fanya research, zunguka zunguka ulizauliza naamini Kuna fursa unaweza pata na ukapata pesa nzuri tu.
N.B;
Ilazo ni sehemu nzuri sana, hili eneo nimelipenda Sana.Ilazo papo vizuri, natamani kupata kiwanja huko mwenye kiwanja huko naomba mawasiliano pm. Ilazo nimepaelewa sana, sana.!
Tulewe tu kwakweli hatuna namnaWanyonge wenzangu tunakwenda kuuguza wapi maumivu haya ya huyu bwana aliyepata faida ya 18million?
Kivipi?Upepo utabadilika soon vipaumbele vimebadilika
Hautaki kwenda dodoma?We jamaa bhna hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya kutamba umepata tenda yenye faida ya mil 18 za JF.
Powa, Ila natakankiwe kimezungujwa na makazi, sio kipo peke yake hakuna nyumba kushoto Wala kulia.Vipo mkuu karibu na Stand nicheki tuu.
Mimi ni bwana mdogo? Powakumbe na wewe unafaham mbwembwe za huyu bwana mdogo
So lazima iwe Kama yangu, shughuli na biashara zangu nishazisema Sana humuTutajie kwanza hiyo tenda uliyopata ili na sisi tuombe. Baada ya hapo, tutashawishikia sasa kuja kuwekeza.
Huko ninakokwambia ni karibu na stand na bandari kavu,unachagua,ukubwa unaoutaka kwa mwenyewe.Na hati unapata.Powa, Ila natakankiwe kimezungujwa na makazi, sio kipo peke yake hakuna nyumba kushoto Wala kulia.
Nahitaji kwa ajili ya nyumba ya kupangisha
Vpo? Taja bei na sifa ya kiwanja,umeme na maji hizi huduma lazima zipatikane ninai lengo la kuna kujenga hukoVipo mkuu karibu na Stand nicheki tuu.
Akueleze ninkm ngapi toka barabara kuu.kama huko Bandari kavu Ni km 11 toka barabara ya Dom- Dar au Dom -SingidaVpo? Taja bei na sifa ya kiwanja,umeme na maji hizi huduma lazima zipatikane ninai lengo la kuna kujenga huko