wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
Naona kila maeneo ya mji wa dodoma bendera za ccm zimeanza kuwekwa hii inaashiria mkutano mkuu wa ccm.
raha tupu
raha tupu
raha kwa kuona bendera au kuna lingine?
Hamna chadema dodomaTafadhari msiweke mibendela yenu ktk mashina ya chadema. niwashangaa pia chadema mashina yao kutokupeperusha bendera zao mashinani.
Soma tena ulichoandika.Tafadhari msiweke mibendela yenu ktk mashina ya chadema. niwashangaa pia chadema mashina yao kutokupeperusha bendera zao mashinani.
We jamaa huwa ni mchokozi.....
Huna Elimu ya juu kama na bendera nazo UVCCM KWISHA SASA.Naona kila maeneo ya mji wa dodoma bendera za ccm zimeanza kuwekwa hii inaashiria mkutano mkuu wa ccm.
raha tupu