Clement paul
Member
- Oct 27, 2016
- 88
- 68
- Thread starter
-
- #101
Ah aise shukran brother, nlikuwa cna ufahamu juu ya ilo.naitoa brother, ntafata ushauri wako.brothers foreverNgoja nikwambie kitu:
Humu huwa hatuweki avatar (profile picture) za sura zetu halisi, ili kulinda utambulisho wetu, vile vile hata majina tunayotumia sio halisi na hata namba za simu hatuweki wazi pia. Hiyo yote ni kwa ajili ya kujilinda kwani kuna watu wa aina zote na ni mwendo wa kuangalia nani kaharibu nini. So kuweka hivyo vitu halisi ni kuwarahisishia wenye kazi zao endapo utaharibu waweze kukunyaka kirahisi sana. So fuata ushauri wangu. Anzia kuondoa/kubadili hiyo picha yako halisi kisha omba kubadilisha jina. Kwenye App yako kuna sehemu ya kutuma msg kwa mtu umtakae, hiyo pia unaweza kuitumia kwa ajili ya kutuma msg kwa mtu mmoja mmoja, huko pia unaweza kumtumia namba za simu unaeelewana nae na sio kuweka namba zako wazi. You will thank me later! (Utanishukuru baadae).
I think sooKwani ni mgeni?
halafu nikwambie nini mwana, achana na hii ID unayotumia sasa cos zoezi la kubadili ID ni complicated sana, mpaka uwasiliane na wahusika wa jf.Ah aise shukran brother, nlikuwa cna ufahamu juu ya ilo.naitoa brother, ntafata ushauri wako.brothers forever
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf!
Mi nipo four ways hapa uwanja wa swai, mbona ungeniuliza jf ningekujibu kuwa hatuendi hiv,Unakuja kutudhalilisha tuonekane wagogo wote washenzi,NAOMBA RADHI kwa ajili ya ndg yangu huyu wa ukae Clement paul
Yeah ni kweli nlikuwa napiga push up nyingi san kwa kuwa nlikuwa natafuta uzito wa mkono kwa kuwa mmi sipendi kupiga chuma.lakin kwa sasa nimepunguza kiwango cha push up yani napiga push chache tu na zile push up muhimu tu,baada ya hapo nafanya mengine ya kawaida.maana mmi najifunza michezo ya ngumi napenda so daily napasha geto bado cjaanza dojo kwa kuwa ni gharama.
Kwahiyo kwa akili yako unajiona mjanja kweli kweli!nenda fb huku hapakufai.Mzee mmi cna huo ushamb unaomaanisha..ngepiga picha kifua wazi hapo ngeonekan ivo.ila ivo kawaida san.tatz nn hapo?
Mambo mremboKaka chang’ombe mmeacha wizi?
Poa Word upoooMambo mrembo
Nipo nipo Dina.. [emoji23]Poa Word upooo
Kakangu mimiWeka na namba ya simu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf!
Nipo nipo Dina.. [emoji23]
Vip hujanipa feedback ya mafuta Yale ya alizet? Ulichukua?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nimekuelewa San ndgu hao wengine wote wanarusha sana,unajua bhna watu tuna tabu sana.jamani emu kuweni bhna,kila mtu yupo free na lake kama cyo jambo baya.dah yani mtu mtandaoni unawez ukawa huru kujibu lolote bila kufikilia jibu lako.tatzo nini juu ya hyo post.dah afu wanaume wenzangu ndo wanaozingua,wana nyie niaje mbna hizo cuts chenga.machalii mnarucha,don't act life.siact life,hyo ndo life yangu.