GE2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

ACHA KUPOTOSHA,,,

HILO TUKIO NI KABLA YA UCHAGUZI ..ILIKUWA KIPINDI CHA KAMPENI. NA HAPO NI MSALATO MNADANI.

CHANZO NI KWAMBA MH.RAIS ALIKUWA ANATOKEA BABATI KUPITIA BARABARA YA KONDOA-DODOMA.

HAO WANANCHI WALITANGAZIWA SIKU MBILI KABLA KUWA ,,RAIS ATASIMAMA KUZUNGUMZA NAO ILI WAWASILISHE KERO ZAO LAKINI HAKUSIMAMA BILA KUTOA SABABU...KITENDO HICHO KILIWAKERA.

HIVYO WAKAANZA KUMZONGA ZONGA MAVUNDE ..
 
Ndo maana wananchi HAWAPO tayari kuvumilia mitano tena ya:
Ubambikiziaji kesi, ubambikaji Kodi, utekaji, nk
 
Acha uongo.
Msalato mnadani...na ilikuwa KABLA ya uchaguzi.
Nani kakudanganya?

Hiyo Kimbinyiko kwenye background umeiona au arusha road kuna kimbinyiko?

Hapo alikuwa anatoa shukurani kushinda akazomewa "HATUJAKUCHAGUA, ONDOKA UENDE KWENYE GARI"

Ndio maana polepole kakataza kusheherekea kuepusha hizi adha, walikuwa wanapima upepo, ukawapuliza hawakuamini, Vumbi tiiii[emoji23][emoji23][emoji23]


Kawadanganye kina lemutuz huko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wizi wa huu awamu ya aibu sanaaaa mpaka tumesanda[emoji3480][emoji3480][emoji3480][emoji3480]
 
KWANINI UNADANGANYA WATU MCHANA KWEUPE.

MANENO YANAYOSIKIKA

"" WEWE NENDA HAUTUHUSU....TANGU TUKUCHAGUE NDO UNAKUJA LEO""


clip ya siku za mwisho mwisho kwenye kampeni za lala salama.
 
Hii pia ni Bora kuonyesha kutoridhika
Polisi hawatumii risasi kwa urahisi kuliko maandamano yanahatarisha Maisha ya raia.
 
Hivi kwanza hiyo bunge la ukoo wa ma sisiemu linaanza lini[emoji3525][emoji848][emoji848][emoji848][emoji855]
 
Si kwamba naunga mkono kinachoendelea kam Hakikufata utaratbu
(Kama kilikiuka utaratbu)
Siwezi kukubali UHUNI huu mpaka naingia kaburini.

Wametudharau sana sana sana WANANCHI.

kumbe machafuko tunashangaa yanatokeaje ni kama vitu hivi vya kipuuzi
 
Mkuu, hapo alipo zomewa ilikua mitaa gani?
NI MUONGO HUYU JAMAA ALIYEPOST.
HIYO CLIP YA SIKU NYINGI KIPINDI CHA KAMPENI ENEO LA MSALATO MNADANI.

TULIKUWA TUNAMSUBIRI RAIS APITE SASA HAKUSIMAMA WATU WAKACHUKIA.
 
NI MUONGO HUYU JAMAA ALIYEPOST.
HIYO CLIP YA SIKU NYINGI KIPINDI CHA KAMPENI ENEO LA MSALATO MNADANI.

TULIKUWA TUNAMSUBIRI RAIS APITE SASA HAKUSIMAMA WATU WAKACHUKIA.
Unaweza kudhibitisha kwa kutuletea tukio zima?

Kama huwezi we ni TAPELI
 
Ni hivi hivi ndivyo tutakavyowaona hao wabungeccccm siku ya kupanda majukwaaani[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hii pia ni Bora kuonyesha kutoridhika
Polisi hawatumii risasi kwa urahisi kuliko maandamano yanahatarisha Maisha ya raia.
Kwani si maandamano ya amani?

No easy walk to freedom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…