Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
Ilikuwa pale round about ya kwenda bungeni upande wa Dodoma secMkuu, hapo alipo zomewa ilikua mitaa gani?
Mkuu, hapo alipo zomewa ilikua mitaa gani?
Acha mkuu!Miaka 5 mateso jasho damu....vikwazo
Duhhhhh......Ilikuwa pale round about ya kwenda bungeni upande wa dodoma sec
Nimeshangaa kweli kwa Mavunde kuzomewa wakati kule ndio ngome ya CCM."Wee nenda, hautuhusu, hatujakuchagua, ingia kwenye gari yako uondoke...". Maneno mazito kweli kweli. Eh, hata Dodoma? Watapata sana taabu sana kwa unyang'anyi wao. Yaani, yaani.... ngoja tuone kati ya umma na jeshi nani ana nguvu. Bila shaka mwisho wao utakuwa mbaya sana kama ulivyo mwisho wa madikteta wote.
[emoji23][emoji23] Mkuu unakera na vi-emojis!La Kuvunda Halina Ubani
Tenda Miujiza Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
[emoji16][emoji23][emoji3][emoji28][emoji1][emoji2]