Documents za EPA: Tujikumbushe

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
Hii hapa ni sehemu ya conclusion ya Ripoti ya Uchunguzi ya Scam ya EPA iliyotolewa na CAG miaka hiyo.

Interest yangu ni kujadili iwapo mapendekezo ya CAG yamefanyiwa kazi kama yanavyoonekana hapa.










 
Kama vitu kama hivi vipo mikononi mwa raia, basi hukumu ya mafisadi ipo ingawa itachelewa!... mafisadi, bado wana wakati mgumu. KWA SASA WANALINDWA KWA NGUVU ZOTE!...
 
Cjaisoma report yenyewe but goog job kaka....
 
NAPE UKO WAPI useme chochote?
 
NDUGAI alisma wasikie AIBU tu,NAPE unasemaje?
 
mwiteni mnyika nape wa nn aachekutekeleza ilani ya chama kazi kubishana na wa wajinga wa cdm waliobaa
 
Section 4



 

Attachments

  • epa11.png
    183.5 KB · Views: 36
  • epa21.png
    179.9 KB · Views: 203
  • epa22.png
    160.3 KB · Views: 217
  • epa23.png
    131.9 KB · Views: 206
Yule Kaenerugaba Msemakweli alipotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…