tikitaka men
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 216
- 58
subiri nikuulize swali kama ulipita kidato cha nne au hata kama darasa la 4 B.mbona sioni implication ya huu uzi?? ok fine, nikikubari udakitari ni mgumu then what next?? sijui tatizo ni umri ??
Hahaha...kweli...tatizo umri.subiri nikuulize swali kama ulipita kidato cha nne au hata kama darasa la 4 B.
hivi mashuleni wanavyoweka debates mfano "elimu ni bora kuliko pesa" alafu wewe ukaja na mawazo yako ya then what next? sasa hapo tukuweke kwenye kundi gani la wanafunzi???
Swali very simple, huyo engineer anaweza kufanya yote hayo kama hayupo njema kiafya mfano ana matatizo ya ubongo?
Alafu kipi cha muhimu kwa uhai, Afya au hizo intervention za ki engineer?
Kwel Mkuuu Nakuunga Mkono As An Engineer i have to be smart i and my fellows Engineers.Ninafahamu watu wengi waliokua na ile kitu ya mzunguko lakini baadae wakajiendeleza na kuwa madktari
Udaktari ni practicle tu.
Engineering ndio ulimwengu.
Engineer ni lazima awe na akili ya ziada.
Engineer ni lazima awe mbunifu pia. Akili ya Engineer ni lazima iwe na wepesi wa kuoanisha kitu.
Hivi unaweza ukamjaji kwa kiwango kipi Engineer anayebuni na kudesign chombo cha kwenda anga za juu. Kwanza anadesign chombo ambacho ni kikubwa na kinachohitaji matrilion ya pesa na ambacho kikikosewa kidogo kinaleta hasara kubwa sana na madhara makubwa sana.
Sasa mtu unaposema kuwa Daktari anatakiwa awe smart zaidi ya Engeener unashindwa kugundua kuwa Engineer akikosea mfano kwenye Kipuri cha Nyuklia madhara yake ni makubwa sana kwenye jamii kwa wakati mmoja.
Hata mitambo wanayotumia madktari kama MRI ,CT scan n.k. ikikosewa na maengineer walioidesign haiwezi kutoa vipimo sahihi.
Daktari atageuka kuwa mganga wa kienyeji endapo tu atakatazwa au ataacha kutumia vifaa au vyombo vilivyotengenezwa na maengineer.
Bila kuwa na maEngineer duniani hata fani ya udaktari itarudi kama enzi za mababu mana haitakua na vifaa vya kisasa ,mazingira ya kisasa na maisha ya kisasa ambavyo ni kazi ya maengineer katika ulimwengu huu.
Engineer ni habari nyingine kabisa usiiangalie juu juu kwa sababu tu ya kuona kuwa asubuhi ukiugua unakimbilia kwa daktari bila kujua hata hiyo panadol inatengenezwa kiwandani ambapo kazi ya maEngineer imelala. Themometa ya kupima joto la mwili ni kazi ya engineer.
Kwenye maisha ya kawaida tu basi ni ukweli kabisa kuwa Daktari ni muhimu zaidi kwenye kuifikia na kuihudumia jamii kwa kuwa wanadili na mtu mmoja mmoja binafsi moja kwa moja.
Lakini Engineer ni ishu nyingine ya kiujumla na kimaendeleo ya mwanadamu ili awe tofauti na viumbe wengine na aweze kuyabadili mazingira kuwa bora na rahisi zaidi na kusaidia fani nyingine zitimize majukumu yake kwa wepesi ,kwa uhakika na haraka zaidi.
Its Fact
Mkuu Unatumia Bia gani nikupe Ofa, Umemjibu Poa sana HuyoNinafahamu watu wengi waliokua na ile kitu ya mzunguko lakini baadae wakajiendeleza na kuwa madktari