Miii nikikumbuka kisa kizima cha OKONKWO kwenda exile MBANTA kwa miaka 7 afu kurudi UMUOFIA, anakuta kila kitu kimesambaratika! Alivo mzalendo, anakula kiapo cha kupambana na wakoloni wa kiingereza hata km yeye peke yake! Rafiki yk kipenzi alimwambia: "our people have joined the whitemen, some have gained titles in the new government!"