Do man mourn miscarriages

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,900
Nina swali Moja tu, mke akiwa na miscarriage do man feel the pain a woman feel ?.mnaelewa jinsi gani mwanamke anaumia au kulia kichinichini ?Michelle Obama is asking that ?
 
Nimewahi kusikia baadhi ya wanaume mke akiwa na mimba nao hupata vichefuchefu kama mke, ila hili la miscarriage sijui kama ME wanasikia pains.

Nina swali Moja tu, mke akiwa na miscarriage do man feel the pain a woman feel ?.mnaelewa jinsi gani mwanamke anaumia au kulia kichinichini ?Michelle Obama is asking that ?
 
Reactions: THT
Nimewahi kusikia baadhi ya wanaume mke akiwa na mimba nao hupata vichefuchefu kama mke, ila hili la miscarriage sijui kama ME wanasikia pains.
Mkuu BAK hizo ni imani tu kama imani zingine, kinachosababisha kichefufu ni hormone iitwayo HUMAN CHORIONIC GONADOTROPINE HORMONE mbayo huzalishwa na kijusi kwenye kondo la uzazi kwenda kwa mama.
 
Si imani tu nimeshuhudia mwenyewe colleagues ambao nao walikuwa na vichefu chefu wakati wake zao wakiwa na mimba changa kitu ambacho hata wao kiliwashangaza sana.

Dad's Pregnancy Symptoms: More Than Just Sympathy Pain?
Why men sometimes experience symptoms such as weight gain, nausea, insomnia, and mood swings during their partner's pregnancy.

Mkuu BAK hizo ni imani tu kama imani zingine, kinachosababisha kichefufu ni hormone iitwayo HUMAN CHORIONIC GONADOTROPINE HORMONE mbayo huzalishwa na kijusi kwenye kondo la uzazi kwenda kwa mama.
 
Attachments

  • 506E7D71-BD5B-4A5F-93BD-4936CFB67986.jpeg
    18.4 KB · Views: 29
  • E9AFE09A-D617-4441-94E4-C66FA4A769B6.png
    38.1 KB · Views: 15
  • C9D9533F-E030-47C5-AA2F-7239284790D7.jpeg
    35.9 KB · Views: 18
 
Attachments

  • 9ECFC854-A0DF-4749-BB74-9B93DC369429.png
    38.1 KB · Views: 18
  • 0FF2E505-7FE3-4675-A75B-F8619CCF644B.jpeg
    35.9 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…