Sugu huko alipo atakuwa ame fula kwa hasira... ana tamani kupasuka na ufupi uleee.... hahahahahahaaaa...Hahahah anamtaka sugu
Sina uhusiano na Mh. Dr TA na hañi fahamu...Do.tulia siungekuja tu na id yako original kisha ndio u-post hii habari yako ya kujipigia promo " .... kwani ungefanya hivyo pangekuwa na ubaya gani
BTW usisahau kulipia TANGAZO
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaNaibu spika wa bunge na mkuu wa taasisi ya Tulia trust ana zidi kufanya shughuli muhimu za kijamii mkoani mbeya...
wakazi wa mbeya mmependelewa sana hii fursa msiache iwa pite... wengine wana itamani ktk mikoa waliyopo lakini ndio hivyo...
View attachment 998030
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanahabari Huru na wenzie... huwa mna waitaje?