PreGE2025 Dkt. Slaa anavuna alichopanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aliondoa professionalism yote aliyokua nayo kwa kutetea mfumo dhalimu sasa leo unamshughulikia
 
acha lifungwe na lifie huko
 
Pamoja na hayo bado ana haki zote kisheria kupata dhamana mahakamani.
 
Lissu anasemaje? Mwabukusi jee? Si alikua Akifanya kazi yao?? Leo mbona hamna harakati Za kumkomboa?? Si ilisemwa humu Lissu ndo Kiboko ya Samia?? Vipi asimuokoe Slaa?
Slaa alimsema vibaya lissu alipopigwa risasi
 
Ameusaliti upadre wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…