Wala sarungi hana cha kumuingiza chaka, silaa alisha jiingiza longtime , akina sarungi wako kwenye hizo haraka waaaay back before hata silaha hajanyang’anywa ubalozi
Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.