GE2025 Dkt. Seria Masole Shonyela achukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole

GE2025 Dkt. Seria Masole Shonyela achukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Dkt. Seria Masole Shonyela amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole kwa dhamira ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote, bila ubaguzi. Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo, Dkt. Shonyela amesema ana nia thabiti ya kushirikiana na wananchi katika kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuinua hali ya maisha katika jimbo hilo.​

1751191302804.png
 
Back
Top Bottom