PreGE2025 Dkt. Ndumbaro: Mnaodai haki msiwe chanzo ukosefu wa haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataja watu wanaodai haki kuacha kuwa sababu ya ukosefu wa haki kwa wengine.

Dkt. Ndumbaro alisema hayo mjini Morogoro wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa sheria wa Jeshi la Magereza kuhusu huduma za msaada wa kisheria, mapokezi ya wafungwa magerezani na adhabu mbadala.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema haki ina ukomo wake hasa pale inapobadilika na kuwa vurugu hivyo ni vyema watu wanaodai haki mbalimbali wakatambua hivyo na wasidai huku wakiharibu haki za wengine.
 

Asijifanye kutwist au kuspin. Hili lonalodaiwa liko wazi na wanalielewa. Wanachofanya ni kuchekewesha tu.

Huyu si ndiye alidai Watanzania wataelimishwa kwanza katiba kwa miaka mitatu...? Na bajeti akapewa .... Au anafikiri tumesahau?
 
Asijifanye kutwist au kuspin. Hili lonalodaiwa liko wazi na wanalielewa. Wanachofanya ni kuchekewesha tu.

Huyu si ndiye alidai Watanzania wataelimishwa kwanza katiba kwa miaka mitatu...? Na bajeti akapewa .... Au anafikiri tumesahau?
Anatuona wote wajinga.
 
Wanadai kwa kuwa haipo, unaweza kudai kitu ambacho kipo??????
Mabumunda ndio yamepewa nafasi, Stupid
 
Kwanini uuwe mtanzania mwenzako kisa mnatofautiana maoni ya kisiasa? Kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…