Na wewe ukaamini hayo maneno juu ya Mwigulu NchembaSiku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi).
Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake.
Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu.
Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa huyo mganga hana hata namba ya simu, hajui kusoma wala kuandika, lakini pia hata kiswahili hawezi kuongea vizuri.
Fika Iramba, shukia sehemu inaitwa Kizaga barabara Kuu ya kuelekea Mwanza kama unatoka Singida Mjini halafu nenda kijiji kinaitwa Simbalungwala (hapa ni kijijini kwetu mimi). Hapo waulize watu kwenda Kijiji cha Makunda (kwa kina Dkt Mwigulu) then hapo ukifika uliza yule Mganga Mpiga Ramli wa Mpakani kati ya Makunda na Ng'anguli utaelekezwa tu na kumpata bila shaka yeyote.

Kujikomboa kifikra kunaanzia na kujitambua kwanza.Kujikomboa kifikra ni kuruhusu uhuru wa kufanya siasa ili kupata mawazo mbadala
Wewe ni chitombwafuSiku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi).