Hawa ndio wasomi tulionao nchi hii. Yeye anaona ni sawa kwa mpigakura kupangiwa nani awe kiongozi wake."Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV
Ukishataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu unaelekea kwenye vurugu, anarchy.Hawa ndio wasomi tulionao nchi hii. Yeye anaona ni sawa kwa mpigakura kupangiwa nani awe kiongozi wake.
Wangazija walikuwa na usemi wao: Non omne quod licet honestum est (i.e., Not everything that is lawful is honorable). While it’s lawful for a sitting president, who is running for reelection, to appoint members of the election commission, it’s obviously not honorable.
Mchezaji hapaswi kuwa na exclusive right ya kujichagulia referee wa match yake!
Be pragmatic! Wanaotaka kuzuia uchaguzi wamefungiwa majukwaa ya kuwafikia wananchi na kuwashawishi wagomee hili igizo la uchaguzi (ubakaji wa demokrasia)! What option are they left with?Ukishataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu unaelekea kwenye vurugu, anarchy.
Pia unakuwa umetoa kauli kwamba umeshindwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi kwa amani na kuonesha kuwa uchaguzi huo hauna baraka za wananchi.
Hii si njia ya kupita watu wanaotaka kutuonesha mfano wa kuendesha mambo kwa amani na kufuata utawala wa sheria.
Katika juhudi za kuelimisha wananchi kuhusu kampeni za no reforms,no election chama fulani kilikula banUkishataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu unaelekea kwenye vurugu, anarchy.
Pia unakuwa umetoa kauli kwamba umeshindwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi kwa amani na kuonesha kuwa uchaguzi huo hauna baraka za wananchi.
Hii si njia ya kupita watu wanaotaka kutuonesha mfano wa kuendesha mambo kwa amani na kufuata utawala wa sheria.
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV
Ila hizi zinazoporwa sii,dhambi wala kosa."Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV
Options zipo nyingi na tunaweza kuzijadili lakini kabla ya kujua option gani tuchukue, tunaweza kukubaliana kuwa tukatae option ya vurugu na kuzuia wengine wanaotaka kufanya uchaguzi wao?Be pragmatic! Wanaotaka kuzuia uchaguzi wamefungiwa majukwaa ya kuwafikia wananchi na kuwashawishi wagomee hili igizo la uchaguzi (ubakaji wa demokrasia)! What option are they left with?
Sawa.Katika juhudi za kuelimisha wananchi kuhusu kampeni za no reforms,no election chama fulani kilikula ban
Hizo options unazodai zipo nyingi zinapaswa kuwa shared widely ili wanaokandamizwa wazijue, kuzitumia na kuepuka confrontation. Otherwise, uasi dhidi ya sheria kandamizi hauepukiki. In fact, kuasi dhidi ya sheria kandamizi is an honor!Options zipo nyingi na tunaweza kuzijadili lakini kabla ya kujua option gani tuchukue, tunaweza kukubaliana kuwa tukatae option ya vurugu na kuzuia wengine wanaotaka kufanya uchaguzi wao?
Tunaweza kukubaliana kuwa tunasimamia mabadiliko ya amani?
Na kama hatukubaliani na dhana ya mabadiliko ya amani, tunataka kutumia nguvu, sasa hapo tutawalaumu vipi CCM kwa kutawala kwa nguvu?
Maandamano si vurugu ila huweza kuleta vurugu endapo dola ikifanya hivo.Sawa.
Kinaweza kupambana kuonesha udhalimu wa CCM bila vurugu na kutumia nguvu.
Kikifanya vurugu na kutumia nguvu, na chenyewe kinakuwa hakina tofauti na CCM.
Kama njia ya amani imeshindikana unabaki option gani?Options zipo nyingi na tunaweza kuzijadili lakini kabla ya kujua option gani tuchukue, tunaweza kukubaliana kuwa tukatae option ya vurugu na kuzuia wengine wanaotaka kufanya uchaguzi wao?
Tunaweza kukubaliana kuwa tunasimamia mabadiliko ya amani?
Na kama hatukubaliani na dhana ya mabadiliko ya amani, tunataka kutumia nguvu, sasa hapo tutawalaumu vipi CCM kwa kutawala kwa nguvu?
Kama kabudi tu"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV
Kuiba kura sio kosa kubwa ktk taifa?"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV
Naam.Hizo options unazodai zipo nyingi zinapaswa kuwa shared widely ili wanaokandamizwa wazijue, kuzitumia na kuepuka confrontation. Otherwise, uasi dhidi ya sheria kandamizi hauepukiki. In fact, kuasi dhidi ya sheria kandamizi is an honor!
Kama katika mwaka una siku 364 za kufanya maandamano, ukang'ang'ania kufanya maandamano siku ya 365 ambayo ni ya uchaguzi, hapo unataka kuleta vurugu kwenye huo uchaguzi tu.Maandamano si vurugu ila huweza kuleta vurugu endapo dola ikifanya hivo.
Nimeelezea hapo juu. Huelewi wapi?Kama njia ya amani imeshindikana unabaki option gani?