Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Mkuu wa mkoa wa Geita, ndiye kinara namba moja wa kumdanganya JPM. Tunaomba mkuu wa mkoa amlete mh JPM huku vijiji vya Nyamikoma,Kamwanga na lwenge ajionee wananchi maisha wanayoishi Kama wakimbizi. Pia kumekuwa ni vijiji wanskoishi raia wa burundi kibao. Hakuna ya serikali Nyamikoma, Kamwanga na lwengeMaccm hayana akili kabida..... Yanamdanganga hadi mwenyekiti wao
Kwani Tanznia ni Tabora mjini tu? Itobho kuna maji? Acha upuuzi. Ananunua ndege wakati vipaumbele vya kwanza kama maji hatekelezi.Majibu ya maji hujayasikia?
Maji yako njiani , waambie wakaunganishe mitambo imewashwa toka Mwanza had I tabora. Sema jingine
Mbona mapokezi ya loketo hamuyaonyeshi.Magufuli ameanza kuelewa somo baada ya zomea zomea ya Kagera na mapokezi duni ya Kigoma. Ndiyo maana kaanza kutumia chopa.
Halli ni mbaya Sana kwa Magu. Kama ingekuwa ngumi, basi Lisu ni Tyson na Magu ni Cheka
Usiwe mnyonge kama mgombea wa Ccm amekuwa mpole sana.Basi sawa, tukutane Oktoba 28
Wasipomdanganya wanatumbuliwa na wanakuwa sio wazalendoMaccm hayana akili kabida..... Yanamdanganga hadi mwenyekiti wao
Usicheke,mkuu anadanganywa sana.ππ
Inawezekana maana kama siku tatu ana huzuni sana.Unadhani hajui kama anadanganywa?? Anajua haswaa!
Mmmh jamani hem hata kama tuna uchama tuweke pembeni.Magufuli ameanza kuelewa somo baada ya zomea zomea ya Kagera na mapokezi duni ya Kigoma. Ndiyo maana kaanza kutumia chopa.
Halli ni mbaya Sana kwa Magu. Kama ingekuwa ngumi, basi Lisu ni Tyson na Magu ni Cheka
Polepole hajui siasa,sio kama Nape alivyokuwa mwenezi alikuwa anaenda kwa wananchi na anamueleza ukweli Jakaya hali ni mbaya. Huyu anadanganywa na mitandao.Wasipomdanganya wanatumbuliwa na wanakuwa sio wazalendo
Wanajaa uwanjani kwa ajili ya wasanii. Ndio maana JPM amestuka,mchana ni Ccm usiku upinzani.Mmmh jamani hem hata kama tuna uchama tuweke pembeni.
Kigoma mapokezi yakikua duni??π²