Dkt. KIKWETE ULIMAANISHA HIZI??

Dkt. KIKWETE ULIMAANISHA HIZI??

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Photo-0182.jpg

Photo-0183.jpg

16
AN-NUUR
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA MACHI 22-28, 2013
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na Business Printers Limited, S.L.P. 78495 Dar es Salaam.

AN-NUUR
16
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA MACHI 22-28, 2013

Usikose nakala yako ya AN-NUUR kilaIjumaa

Itiqaaf Masjid Tungi Temeke kesho
Na Bakari Mwakangwale

WAISLAMU Jijini Dares Salaam, wametakiwakuhudhuria kwa wingikatika ibada ya Itiqaaf,itakayo fanyika katikaMsikiti wa Tungi, Temeke.
Wito huo umetolewa naImam wa Msikiti huo, SheikhShaaban Ibrahim, wakatiakiongea na mwandishi wahabari hizi mapema wiki hii.Alisema kwamba ibadahiyo ni katika mwendelezowa maazimio ya Jumuiyana Taasisi za Kiislamu nayanafanyiwa kazi na Shuraya Maimam, ambapo katikakikao chao Jumapili wikiiliyopita, taarifa za maazimiohayo zilitakiwa kufikisha kwaWaislamu kupitia Misikitiyao.Sheikh Ibrahim, alisemalengo la Itiqafu hizo ni kumliliana kumkabidhi MwenyeziMungu kile kinachoonekanakuwa ni dhulma dhidi yaWaislamu, kupuuzwa nakunyimwa haki zao.
Alifafanua Sheikh huyokwamba, kabla ya kuanzakwa ibada hiyo ya Itiqaaf,Waislamu wapewe dakikamoja hadi mbili kunuia nakukabidhi kwa MwenyeziMungu wale ambao ni kikwazokatika harakati zao.Aidha alisema kuwa,viongozi wa Waislamuwatapata fursa ya kuongea naWaislamu kuwaeleza mamboyanavyoendelea kuhusukadhia mbalimbali dhidi yaona namna gani wanakabiliananayo.Taarifa zaidi kutoka Shuraya Maimam zimeeleza kuwawakati hayo yakifanyika,viongozi wa Kiislamuwanajipanga kwa hatuambadala katika kudaikutekelezewa madai yaoSerikalini.Hii inakuwa ni Ibadaya pili ya Itiqaf, kufanyika baada ya kutanguliwa na ileiliyoswaliwa katika Msikiti waKichangani (T.I.C) Magomeni,Jijini Dar es Salaam Jumamosiwiki iliyopita.
 
Watu TISS naomba kuuliza, "Hivi kufanya ibada ili rais afe siyo uhaini?"
 
hatutaki muendelee kupandikiza udini hapa plz
Mbona unawasiwasi tunatazama bado mwandishi wa habari wa kiislamu wa Gazet hili kama anaweza kusoma kiswahili na kukiandika vizuri ikiwamo kutenganissha sawasawa maneno katika mistari ya habari yake kisha nita comment
 
View attachment 89021

View attachment 89022

16
AN-NUUR
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA MACHI 22-28, 2013
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na Business Printers Limited, S.L.P. 78495 Dar es Salaam.

AN-NUUR
16
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA MACHI 22-28, 2013

Usikose nakala yako ya AN-NUUR kilaIjumaa

Itiqaaf Masjid Tungi Temeke kesho
Na Bakari Mwakangwale

WAISLAMU Jijini Dares Salaam, wametakiwakuhudhuria kwa wingikatika ibada ya Itiqaaf,itakayo fanyika katikaMsikiti wa Tungi, Temeke.
Wito huo umetolewa naImam wa Msikiti huo, SheikhShaaban Ibrahim, wakatiakiongea na mwandishi wahabari hizi mapema wiki hii.Alisema kwamba ibadahiyo ni katika mwendelezowa maazimio ya Jumuiyana Taasisi za Kiislamu nayanafanyiwa kazi na Shuraya Maimam, ambapo katikakikao chao Jumapili wikiiliyopita, taarifa za maazimiohayo zilitakiwa kufikisha kwaWaislamu kupitia Misikitiyao.Sheikh Ibrahim, alisemalengo la Itiqafu hizo ni kumliliana kumkabidhi MwenyeziMungu kile kinachoonekanakuwa ni dhulma dhidi yaWaislamu, kupuuzwa nakunyimwa haki zao.
Alifafanua Sheikh huyokwamba, kabla ya kuanzakwa ibada hiyo ya Itiqaaf,Waislamu wapewe dakikamoja hadi mbili kunuia nakukabidhi kwa MwenyeziMungu wale ambao ni kikwazokatika harakati zao.Aidha alisema kuwa,viongozi wa Waislamuwatapata fursa ya kuongea naWaislamu kuwaeleza mamboyanavyoendelea kuhusukadhia mbalimbali dhidi yaona namna gani wanakabiliananayo.Taarifa zaidi kutoka Shuraya Maimam zimeeleza kuwawakati hayo yakifanyika,viongozi wa Kiislamuwanajipanga kwa hatuambadala katika kudaikutekelezewa madai yaoSerikalini.Hii inakuwa ni Ibadaya pili ya Itiqaf, kufanyika baada ya kutanguliwa na ileiliyoswaliwa katika Msikiti waKichangani (T.I.C) Magomeni,Jijini Dar es Salaam Jumamosiwiki iliyopita.

God is so merciful and kind that he will not treat his creatures badly!
 
Good guys of qur'an are Bad Guys of Bible why?Haki kwa muislamu ni kudhumu na kunyanyasa Mkristo why?Amani kwa muislamu ni msiba kwa mkristo why?Neno Amani kwa Mkristo linamaanisha Vurugu kwa Muislamu why?Kuna tatizo la kauli hii kutoka kwa makamu wa rais wa Sudani(Khartoom) kwamba "There is no God but Allah". Why maeneo ya waislamu ni yanagubikwa na ujinga,maradhi,vita,ugaidi na chuki sio tu kwa wakristo hata miongoni mwao why?Look Iraq,Iran,Afghn,S/Arabia nk..Why ibada za kiislamu hukaazimisha wasio waislamu kuzishiriki hata kama hawazipendi na hawazitaki? Allah ni nani hasa na tabia zake ni zipi hasa?Wanajamvi nauliza haya maswali nipate tu majibu...Msiendekeze udini tafadhali.
 
Labda mnieleweshe jamani, mbona mi sijaona mahala walipoweka wazi nia ya hiyo sala? Kivipi tunaihusisha na prezidaa?
 
Kikwete kafa?

UISLAM UNAZIDI KUJIAIBISHA KILA SIKU

MTOTO KAKOJOLEA QURAN HAKUNA KITU KILICHOTOKEA,KIKWETE WAMEOMBEWA AFE HAKUNA KITU

JE MUNGU WENU NI FEKI?
 
Haya majitu manywa kahawa taaabu kwelikweli hivi kumbe huyo allah siyo God hee! Kumbe ni nani hasa jamani? Hivi mbona quran 5:2 inaruhusu muislam kula klichochinjwa na Mkristo au Myahudi sasa mbona hawa wenzetu hawajitambui? Pia Biblia huyo muhamad aliikuta na Ukristo pia na akauacha umesimama mpaka leo jamani someni kitabu kiitwacho 'maisha ya mtume' kuna data zoote aisee.
 
No offence lakn hivi Mungu gani ukimuomba anaua watu? Na kama kuna muislam aje hapa anielimishe najua hawezi kuta aniambie naskia mmeahidiwa S.W.A baada ya kufa mtakutana na Mahululain hivi ni vitu gani?
 
Hapo nimeelewa kwamba wameamua kumshitaki kwa mungu kama huku wanako peleka madai yao hawasikilizwi. Swala la kunuia mtu afe hapo utata
 
Ninachowapendea hawa ndugu zangu ni hiki, mara baada ya kufanya hayo maombi kwa mungu wao, mungu huyo akishindwa kujibu walichokiomba wanaamua kufanya wenyewe, kweli hapo nawakubali sana, maana mungu hua amepata wasaidizi! big up sana.
 
Back
Top Bottom