Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,639
- 2,141
Wajumbe wanamkubali ndio maana wanampa kura. Wale ambao hawamtaki wajiunge na CHADEMA wapeleke pressure ya mabadiliko ya uongoziPost ya 14 hii, hakuna aliyejibu hoja ya Kigwangala. Hivi ni kwanini huwa mtu akimuongelea Mbowe na kuachia uenyekiti huwa ni lazima aliyetoa hilo wazo ashambuliwe!?,hivi ni kweli hakuna mtu mwingine chadema anayeweza kuwa mwenyekiti wa chama zaidi ya Mbowe!?!?..., Hivi chadema wote wanaona ni sawa Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu!?,humu huwa namkubali Tindo tu kwenye suala la mwenyekiti kuongoza bila kikomo.