Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

Ila kwa hali ya kisiasa ilivyo na yaliyotokea kwenye awamu ya 5 bado Mbowe ni kiongozi sahihi wa CHADEMA. Ukimtoa Mbowe hakuna kiongozi mwingine anayeweza kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa. Lissu na ule uropokaji hafai. Mbowe ana busara na uvumilivu wa kisiasa. Pia anajua kudili na CCM kidiplomasia pamoja na madhila ya hapa na pale anayokutana nayo. Kina Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu ni hovyo kabisa.
Sawa na ccm watataachia nchi lini tangu ,1961 mpaka Leo hakuna la maana wamefanya zaodi ya rushwa na ufisadi
 
Ila kwa hali ya kisiasa ilivyo na yaliyotokea kwenye awamu ya 5 bado Mbowe ni kiongozi sahihi wa CHADEMA. Ukimtoa Mbowe hakuna kiongozi mwingine anayeweza kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa. Lissu na ule uropokaji hafai. Mbowe ana busara na uvumilivu wa kisiasa. Pia anajua kudili na CCM kidiplomasia pamoja na madhila ya hapa na pale anayokutana nayo. Kina Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu ni hovyo kabisa.
Mkuu matongee,
nikusahihishe kidogo kwenye jina la bwana mdogo Ni pambalu sio pumbulu
 
Chadema kama chama mbadala kilipaswa kuonesha mfano mzuri wa kuheshimu na kufuata misingi ya demokrasia. Kujificha kwenye madhaifu ya ccm ni kuutangazia umma kwamba chadema ni sawa na ccm.
Hakuna mwana ccm anayeitakia mema CDM!! Kipindi cha jiwe mlisema lazima kife, ikashindikana, na sasa kitawatesa sana, kwani wananchi wameshaanza kuelewa
 
kwani demokrasia kwa tafsiri yako ni nini?
Demokrasia ni katiba ya nchi au chama ambayo inampa kiongozi wa chama au nchi akae madarakani kwa muda fulani uliyowekwa na chama au nchi husika.

Katiba ya Chadema iliyotungwa wakati wa uanzishaji wa chama ilikuwa ni ya mihula miwili tu ya miaka mitano mitano. Mwenyekiti wa chama aliechaguliwa kidemokrasia na chama aliruhusiwa kukaa madarakani kwa muda wa miaka mitano ya muhula wa kwanza, na endapo atahitaji kuendelea basi itabidi agombee tena na akishinda amalizie muhula wa pili.

Muongozo wa katiba hiyo ulifuatwa na viongozi wote waliotawala kabla ya Mbowe. Alianza mzee Mtei akatawala, mihula yake ilipoisha akatoka kwa mujibu wa katiba na kumpisha mgombea mungine aliegombea na kushinda uenyekiti (Bob Makani)

Marehemu Bob Makani nae akafuata katiba ya chama kwa kutawala mihula miwili kisha akaacha wagombea wengine wapambane, mshindi akawa Mbowe, Bob Makani akamkabidhi kijiti kwa mujibu wa katiba ya chama.

Mziki ukaja kwa Mbowe ambae hakutaka kutoka katika kiti, akaamua kubadilisha katiba ili aendelee kuwa anagombea miaka yote mpaka uzeeni. Na kwa mazingira yetu ya kiafrika ni vigumu sana mtu wa kawaida kushindana na kiongozi aliepo kwenye kiti, maana yeye ndo boss wa wapiga kura wote, na pia boss wa wahesabu kura wote.

So ni rahisi mno kuwadhibiti, kuwahonga au kuwatisha ili wampitishe. Nafikiri umeshasikia Lisu akilalamika juu ya rushwa inavyotembea katika chaguzi. Sasa kwa mantiki hiyo hata kama wanachama hawamtaki mwenyekiti yeye ataendelea kupita tu kwa sababu ana hela za kuwahonga.
kwani hawaruhusu watu wengine kugombea? mbowe huwa anapita bila kupingwa? nisaidie mkuu maana mimi nimezaliwa 2010
Kushindana na mtu aliebadilisha katiba ili miaka yote aendelee kutawala ni kazi bure. Yeye ndio kiongozi wa wapiga kura na wahesabu kura, hivyo uwezekano wa uchaguzi huo kuwa wa haki ni mdogo sana. Ni sawa na mpinzani ashindane na raisi katika uchaguzi. Uwezekano wa mpinzani huyo kushinda uchaguzi huo ni mdogo sana hata kama yeye atakuwa amepata kura nyingi kushinda raisi.

So mkuu usidanganyike na watu kuchukua fomu kushindana na Mbowe, ile ni geresha na hata hao wachukuaji fomu hujua kabisa kwamba hawatoweza kushinda kwa namna yoyote ile.
 
Miaka ile nilipendekeza CHADEMA ingeongozwa na Kamanda John Heche baada ya Kamanda Mbowe kumaliza muda wa uongozi wake. Maana huyu jamaa alikuwa ni Mwenyekiti wa ukweli sana wa bavicha ukimlinganisha na Wenyeviti wengine! Aisee nilishambulwa mpaka basi na Makamanda wa humu jukwaani.
Na nilitoa hoja nzuri tu! Ila sikueleweka hata kidogo. Na badala yake nikaonekana eti mimi ccm!!

Kiukweli mpaka sasa bado sijaona mantiki kwa Kamanda kuendelea kuishikilia hiyo nafasi ya Uenyekiti kwa vipindi zaidi ya viwili! Huku chama chenyewe kikifahamika kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwangu mimi nilitamani kiwe mfano wa kuigwa kwa vyama vingine vya siasa nchini kwenye kipengele cha Demokrasia na Maendeleo. Ni vizuri akasimama kwenye ile ahadi yake ya kutogombea kwenye uchaguzi wa mwaka 2023! Na baadaye huo uchaguzi kusogezwa mpaka mwaka huu wa 2024.
Kama Kuna kitu kitafanya cdm kuonekana ni chama Cha hovyo ni kukubali Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti tena. Katika jambo ambalo siwezi kuunga mkono cdm, ni hiki kitendo Cha kuruhusu kiongozi mmoja kukaa madarakani muda mrefu hivyo. Kwenye hili siko tayari kuunga mkono, na Sina hofu na kamanda yoyote wa cdm hata watukane watakavyo, maana hayo matusi yenyewe nayamudu vyema.

Nilipinga Lowassa kupewa nafasi ya kugombea urais ndani ya cdm bila hofu. Na Sasa naendelea kupinga Mbowe kuwa mwenyekiti muda mrefu kiasi hiki, huku akiwa Hana tija tena.
 
Demokrasia ni katiba ya nchi au chama ambayo inampa kiongozi wa chama au nchi akae madarakani kwa muda fulani uliyowekwa na chama au nchi husika.

Katiba ya Chadema iliyotungwa wakati wa uanzishaji wa chama ilikuwa ni ya mihula miwili tu ya miaka mitano mitano. Mwenyekiti wa chama aliechaguliwa kidemokrasia na chama aliruhusiwa kukaa madarakani kwa muda wa miaka mitano ya muhula wa kwanza, na endapo atahitaji kuendelea basi itabidi agombee tena na akishinda amalizie muhula wa pili.

Muongozo wa katiba hiyo ulifuatwa na viongozi wote waliotawala kabla ya Mbowe. Alianza mzee Mtei akatawala, mihula yake ilipoisha akatoka kwa mujibu wa katiba na kumpisha mgombea mungine aliegombea na kushinda uenyekiti (Bob Makani)

Marehemu Bob Makani nae akafuata katiba ya chama kwa kutawala mihula miwili kisha akaacha wagombea wengine wapambane, mshindi akawa Mbowe, Bob Makani akamkabidhi kijiti kwa mujibu wa katiba ya chama.

Mziki ukaja kwa Mbowe ambae hakutaka kutoka katika kiti, akaamua kubadilisha katiba ili aendelee kuwa anagombea miaka yote mpaka uzeeni. Na kwa mazingira yetu ya kiafrika ni vigumu sana mtu wa kawaida kushindana na kiongozi aliepo kwenye kiti, maana yeye ndo boss wa wapiga kura wote, na pia boss wa wahesabu kura wote.

So ni rahisi mno kuwadhibiti, kuwahonga au kuwatisha ili wampitishe. Nafikiri umeshasikia Lisu akilalamika juu ya rushwa inavyotembea katika chaguzi. Sasa kwa mantiki hiyo hata kama wanachama hawamtaki mwenyekiti yeye ataendelea kupita tu kwa sababu ana hela za kuwahonga.

Kushindana na mtu aliebadilisha katiba ili miaka yote aendelee kutawala ni kazi bure. Yeye ndio kiongozi wa wapiga kura na wahesabu kura, hivyo uwezekano wa uchaguzi huo kuwa wa haki ni mdogo sana. Ni sawa na mpinzani ashindane na raisi katika uchaguzi. Uwezekano wa mpinzani huyo kushinda uchaguzi huo ni mdogo sana hata kama yeye atakuwa amepata kura nyingi kushinda raisi.

So mkuu usidanganyike na watu kuchukua fomu kushindana na Mbowe, ile ni geresha na hata hao wachukuaji fomu hujua kabisa kwamba hawatoweza kushinda kwa namna yoyote ile.
Uko sahihi sana, Mbowe must go. Kwa sasa Mbowe anaipotezea cdm haiba yake, kuliko anachoipa cdm.
 
Kama Kuna kitu kitafanya cdm kuonekana ni chama Cha hovyo ni kukubali Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti tena. Katika jambo ambalo siwezi kuunga mkono cdm, ni hiki kitendo Cha kuruhusu kiongozi mmoja kukaa madarakani muda mrefu hivyo. Kwenye hili siko tayari kuunga mkono, na Sina hofu na kamanda yoyote wa cdm hata watukane watakavyo, maana hayo matusi yenyewe nayamudu vyema.

Nilipinga Lowassa kupewa nafasi ya kugombea urais ndani ya cdm bila hofu. Na Sasa naendelea kupinga Mbowe kuwa mwenyekiti muda mrefu kiasi hiki, huku akiwa Hana tija tena.
BWANA mkubwa,
itapendeza utupe merits & demerits za mbowe kuendelea kua mwenyekiti wa CDM
 
Uko sahihi sana, Mbowe must go. Kwa sasa Mbowe anaipotezea cdm haiba yake, kuliko anachoipa cdm.
Na mfumo unataka Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti, ili waendelee kumtumia yeye kama kiongozi wa chama kuwafinya kimya kimya wale wote wanaojaribu kuichalenji serikali.

Siku watu wakija kuusikia wasifu wa Mbowe, nina imani wengi watapigwa na butwaa na wengine wataacha kabisa kuwaamini wanasiasa wote wa Tanzania hata wale ambao wanastahili kuaminiwa. Maana inaonesha wazi kuwa wasifu wake hauna tofauti na wa Mrema, sema tu yeye alibahatika kupata watu wenye akili ambao walimsaidia kukitengeneza chama hivyo sasa hivi anakula matunda ya chama na ya kazi yake nyingine.

Bahati mbaya au nzuri wasifu wao hutolewa baada ya muhusika kufariki, hivyo waliopoteza fedha zao na jasho lao kumpigania bila kujua, hawatokuwa na la kuifanya maiti.
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
Uongozi wa Mbowe ni aibu kwa democrasia. Kiongozi unaposhindwa kuandaa wengine kuchukua nafasi yako na kuona kama wewe pekee ndiye anayefaa, hapo umefeli kama kiongozi.

Wajinga wengine watakuja na hoja “kwani katiba yao inasema je? Alafu wanakuja kuomba mabadiriko katiba ya nchi. Aibu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom