Ila kwa hali ya kisiasa ilivyo na yaliyotokea kwenye awamu ya 5 bado Mbowe ni kiongozi sahihi wa CHADEMA. Ukimtoa Mbowe hakuna kiongozi mwingine anayeweza kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa. Lissu na ule uropokaji hafai. Mbowe ana busara na uvumilivu wa kisiasa. Pia anajua kudili na CCM kidiplomasia pamoja na madhila ya hapa na pale anayokutana nayo. Kina Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu ni hovyo kabisa.