Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Iwapendeze waungwana........
Binafsi niko Mt. Meru Hotel muda huu namwona Kigwangala akihangaika kusubiri wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kwa dhumuni la kuwapa ujumbe kutoka kwa Waziri wa Mambo Nje.
Kigwangala kawahakikishia baadhi ya wajumbe kuwa lazma waingie Ikulu..... Baadhi yao walimuuliza juu ya onyo Kigwa akawahakikishia kuwa lile onyo lilikuwa na mwenyewe ila nuksi ilitokea kwenye kamati kuu.
Akaenda mbali zaidi na kuwaambi hata Rais anajua mchezo unaoendelea ila sass hivi kubwa ni kuzuga tu. Labda Kigwangala hajui au hajafahamishwa kuwa Mt. Meru leo ni Happy Hour hivyo hata wajumbe waliomwambia kuwa wako nje ya Mkoa tuko nao hapa hapa Mt. Meru na ndio walioweka loud speaker alivyowapigia.
Kimsingi tumeshamwona alipo na wenzetu wanahakikisha hata kama ni Clip zote zitaanikwa humu......
Katiba kwanza Mikakati Baadae..............